Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Dec 17, 2012 #1 kama alivyokutwa na mpiga picha wangu kituo cha daladala cha moroko akisubiri usafiri. Nakala kwa Ritz, chama zomba and two others. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kama alivyokutwa na mpiga picha wangu kituo cha daladala cha moroko akisubiri usafiri. Nakala kwa Ritz, chama zomba and two others.
M maswitule JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 1,392 Reaction score 477 Dec 17, 2012 #2 CCM anasubiri usafiri?????????
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Dec 17, 2012 #3 ni katokelezea kweli maana hilo pozi ni la zaidi ya lisaa hivi...
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Dec 17, 2012 Thread starter #4 maswitule said: CCM anasubiri usafiri????????? Click to expand... Kwani chichiemu chi ntu? ndetichia said: ni katokelezea kweli maana hilo pozi ni la zaidi ya lisaa hivi... Click to expand... mida ya jioni hiyo gari zote nyomi ya kufa mtu si unajua tena usafiri wetu wa kibongo?
maswitule said: CCM anasubiri usafiri????????? Click to expand... Kwani chichiemu chi ntu? ndetichia said: ni katokelezea kweli maana hilo pozi ni la zaidi ya lisaa hivi... Click to expand... mida ya jioni hiyo gari zote nyomi ya kufa mtu si unajua tena usafiri wetu wa kibongo?
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Dec 17, 2012 #5 anatafuta udaku
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Dec 17, 2012 #6 Kama sikosei Namfahamu huyu jamaa. Ni mbaya sana kwa kupiga Roba na kusachi. Kamasikosei hapo anamlia timing mtu.
Kama sikosei Namfahamu huyu jamaa. Ni mbaya sana kwa kupiga Roba na kusachi. Kamasikosei hapo anamlia timing mtu.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Dec 17, 2012 #7 Lukansola said: Kwani chichiemu chi ntu? mida ya jioni hiyo gari zote nyomi ya kufa mtu si unajua tena usafiri wetu wa kibongo? Click to expand... umeona enheee ndio mana jamaa kacoka kinoma..
Lukansola said: Kwani chichiemu chi ntu? mida ya jioni hiyo gari zote nyomi ya kufa mtu si unajua tena usafiri wetu wa kibongo? Click to expand... umeona enheee ndio mana jamaa kacoka kinoma..
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Dec 18, 2012 Thread starter #8 englibertm said: anatafuta udaku Click to expand... Nyie acheni kuwasema vibaya wenzenu, nao ni binadamu kama nyie mjue.
englibertm said: anatafuta udaku Click to expand... Nyie acheni kuwasema vibaya wenzenu, nao ni binadamu kama nyie mjue.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Dec 18, 2012 #9 kigumu ccm
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Dec 18, 2012 #10 Hii picha ya ritz alikuwa anangojea usafiri wa kwenda lumumba
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,920 Dec 18, 2012 #11 hiyo kofia inamzidishia umasikini,maana hata upepo wa shetani unadhuru.
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Dec 18, 2012 #12 Yeye anafaidi kofia tu, wenzie wakipita wanampigia vumbi tu! funguka mwananchi, kula kwa ccm, kura kwa cdm.
Yeye anafaidi kofia tu, wenzie wakipita wanampigia vumbi tu! funguka mwananchi, kula kwa ccm, kura kwa cdm.