D dnmwami Member Joined Feb 21, 2013 Posts 23 Reaction score 4 Nov 9, 2013 #1 Kuna dada mmoja amepewa gazeti na mdogo wake akamjibu kwamba siku nyingi hajasoma gazeti amesahau kusoma. inawezekana hii kitu wanajamvi?
Kuna dada mmoja amepewa gazeti na mdogo wake akamjibu kwamba siku nyingi hajasoma gazeti amesahau kusoma. inawezekana hii kitu wanajamvi?
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,099 Reaction score 14,835 Nov 9, 2013 #2 Kama unaweza kumsahau mtu mmoja tu, utashindwaje kusahau herufi 26? Mbona rahisi tu.