Amerudi

mhm hapa ndio unapoji contradict...huna tym nae wakati unakuja hapa kumuongelea loh!! wanawake bwana unamkandia mwenzio tafikiria hujawai kumvulia chupi!!! ama kweli mwanamke ni wakugegeda na kusepa

hahaha..kumuongelea m2 co kama ndo unampendaa...kama nliweza kusurvive tulipoachana nshndwe ss..yan hata iweje cwez kumsamehe mwnaume alie na akili kama za huyo x wangu..mana yale ni majanga..
 


Pamoja na matatizo yote.

Falsafa ya maelezo yako naona yupo rohon mwako, si ajabu narudia si ajab matashea tena kitanda. Sina hakika lakin nahisi hivyo.
 
Achana nae kabisa huyo ni mwanaume suruali mweeeh una Moyo eti ukarudisha VITU aisee angekuja kutoa masperm yake aliyokua anamwaga hata kama alikua anause dawa ya penzi....kwa kweli huyo ni Nyoka aisee achana nae hahahah pole kwake..
 
Pamoja na matatizo yote.

Falsafa ya maelezo yako naona yupo rohon mwako, si ajabu narudia si ajab matashea tena kitanda. Sina hakika lakin nahisi hivyo.

hayupo kabisa yan..na hata angekuwepo cwez kumrudia mwnume wa type hii..mana hata mkiish wote ni janga tu..alipoteza upendo wng baada ya kuniacha bila sababu,tena na dharau juu..i may be stupid,bt not fool enough kiac cha kumrudia mtu wa aina hii..
 
Hapana. Inabidi amsamehe bure kwani huyo mwanaume ni binadamu. Ana mapungufu yake.

dah kuna wakusamehewa wangu,lkn wa aina hii hapana..mkiishi pamoja achelew kutangaza kwa watu kila alichokununulia..na alivyo mswaz anaweza kutoa siri za ndan kwa watu..aku mwache aende..
 
hayupo kabisa yan..na hata angekuwepo cwez kumrudia mwnume wa type hii..mana hata mkiish wote ni janga tu..alipoteza upendo wng baada ya kuniacha bila sababu,tena na dharau juu..i may be stupid,bt not fool enough kiac cha kumrudia mtu wa aina hii..

Pole sana na yote ni maisha ndugu yangu. Lakin kukiongelea kitu kwa muda mrefu huweza kuwa na positive impact by the end.
 
swadaktaaa.....sasa hii ndio chance nzuri ya kumpeleka mabwepande.....we usimkatalie....ila fanya ya muhimu.........
 
Unaanza kuchafua hali ya hewa hapa ndani!!
Hebu kwanza tuambia ilikua aje mpaka mkavurumishana hadi kunyang'anyana vizawadi mlivopeana?
ilikuwaje usimchunguze mienendo yake hadi kukurupukia vizawadi vyake? hebu tuambie weye ulishawahi kumpa zawadi yeyote?
Kama alikuacha na leo anataka kukurudia maana yake wakti mko naye hukuona mapungufu yake na ulimwona ni mkamilifu hadi alipokumwaga. Kwa lugha nyingine weye ulikuwa naye kwa ajili ya maslahi!! yawezekena outing na present zilipopungua ukaanza kumfanyia vijineno naye ikamuuma hadi kukuvurumisha. Na kwa kuwa alishazimika kwako, hasira zimemuisha anajiona anakosa zile dozi ulizokuwa unampa hadi anavunja benki yake kukujaza zawadi weye!!
Hebu jitafakari kama kweli ulimpenda yeye kama yeye au ulipenda pesa na rasilimali zake!!

 

madhaifu ya mtu uwez kuyajua hv hv tu..tulidumu kwa mda mref sana..ckuwah kuhisi kama angewza kua na tabia kama hiz..aliact kama gentlemen mda wote..
Hata Mm nmewah kumpa but nlipokua narudisha vitu vyake nlimwambia hizo zawad zangu nlizompa sitaki arudishe cz huwa sitadi kitu nlichogawa,na kama avitaki basi atupe au achome moto..ila yy nlimpa kila kitu chake..
Alafu mbaya zaid hakusema kwa nn ameamua kuniacha..ila amenifundisha kitu kikubwa tu maisha..mana next time ntajua jinsi ya kudil na wanaume wa type kama yake.
 
haswaaaa!na anaanzaje kunidai? kwani aliniambia nimhifadhie?
 
alishamegwa huyooo...utamu arudishe kibipi kwani raha alipata mwenyewe tuu....u really need to change hii mentality yenu ya kudhani kuwa sie pekee ndio twapata raha....

Sasa kama uroda haurudishiki kivipi arudishe vitu alivohongwaaaaa? Kiendacho kwa mganga akirudi
 

Hongera kwa ustaarabu!!!!!!1 Alitakiwa anipate mie, watu tunakopa bank HATULIPI NG'OOOOOO! itakuwa mali ya kuhongwa? Nisingerudisha senti tano kipande!!!!!!!!! Thubutu yakeeeeeee! Hata angeenda kufungua kesi ya madai jamuhuri ya muungano wa Tz! We muoga tu, toka lini mbuzi wa kafara akarudishwa kwa mteja kisa zindiko halijafanya kazi!!!?

Siku nyingine usirudishe sumni kipande!!!! Gharama za renovation ya K baada ya depreciation yake nani atalipia?
 
Sasa kama uroda haurudishiki kivipi arudishe vitu alivohongwaaaaa? Kiendacho kwa mganga akirudi

ndio maana mwanaume wa kweli anahonga na kuhakikisha anagegeda na kusepa baada ya muda. hiyo yote ni ku avoid mambo kama haya
 
Piga chini huyo....ulambe matapish umekuwa paka weye?
hivi nyie watu hata biblia hamsomi!!samehe saba mara sabini!!!arudishe moyo amsamehe sela aliteleza kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…