aliniacha kwa mbwembwe zote..sasa nashanga..amerudi,tena kwa mbwebwe za kuomba msamahi,sms za sorry zinafululika kama mvua..had anajaza inbox yangu...Mwanaume hana haya huyu mana kasahau kashfa,na kibut alichonipa anarud mdogooo kuomba msamahaaaa....
Too bad kwake cz cwez kurudia matapishi yangu,aliniacha majestically na mbaya zaid janaume zima lilinidai vtu alivyonipa kwa nguvu zoote...bibye nlirudisha kila alichonidai kuepusha shari,nlikubaliana na maamuzi n nkamuv on na maisha yangu.. sa hv anajifanya kuomba msamaha cjui yamemshinda nn huko
..my lovely dada wenzangu ucje kufanya mistake ya kumrudia mwanaume aliekukashfu,na kutangaza kila kona mlipoachana...hiyo ndo type ya wanaume wasio na msimamo..na ndo type ya wanaume wanaotangaza siri za ndan kwa ndugu na majiran..
Wanaume bhana...i cant u guyssss..your anothrr kabisssa...hahahaha
Spinster hebu achana na poyoyo huyo, njoo kwangu mimi mzee wa upendo wa dhati na malavidavi ya kumwaga. Unataka nini sema nitakupa. Kama ni raha au mapenzi motomoto, hapa 1000% guaranteed. Kama ni hela, fedha dhahabu almasi na rubi usijali, tutavaa tu midosho ili tusiende jela. Nakupenda sana Spinster
Ukiangalia story vizuri Si rahisi mwanaume aanze kukuacha then akadai vitu,ukidaiwa vitu kuna tatizo lililoanzishwa na huyu girl na mara nyingi Ni kuanza kutoka na mtu mwingine kwa siri na huyu Jamaa kuwa backup,experience inaonyesha wote wanaodaiwa Ndo walianza / wanaoanza cheating, I remain to be corrected
huyo ni mvulana bana ,hawezi kuwa mwanaume wa kweli aliyekamilika.aliniacha kwa mbwembwe zote..sasa nashanga..amerudi,tena kwa mbwebwe za kuomba msamahi,sms za sorry zinafululika kama mvua..had anajaza inbox yangu...Mwanaume hana haya huyu mana kasahau kashfa,na kibut alichonipa anarud mdogooo kuomba msamahaaaa....
Too bad kwake cz cwez kurudia matapishi yangu,aliniacha majestically na mbaya zaid janaume zima lilinidai vtu alivyonipa kwa nguvu zoote...bibye nlirudisha kila alichonidai kuepusha shari,nlikubaliana na maamuzi n nkamuv on na maisha yangu.. sa hv anajifanya kuomba msamaha cjui yamemshinda nn huko
..my lovely dada wenzangu ucje kufanya mistake ya kumrudia mwanaume aliekukashfu,na kutangaza kila kona mlipoachana...hiyo ndo type ya wanaume wasio na msimamo..na ndo type ya wanaume wanaotangaza siri za ndan kwa ndugu na majiran..
Wanaume bhana...i cant u guyssss..your anothrr kabisssa...hahahaha
ndiyo umdai vitu ulivyompa ,umaskini wa akili huo.Ukiangalia story vizuri Si rahisi mwanaume aanze kukuacha then akadai vitu,ukidaiwa vitu kuna tatizo lililoanzishwa na huyu girl na mara nyingi Ni kuanza kutoka na mtu mwingine kwa siri na huyu Jamaa kuwa backup,experience inaonyesha wote wanaodaiwa Ndo walianza / wanaoanza cheating, I remain to be corrected
Mimi ni mwanaume ila kulamba matapish ni nehi! kama mlishindwana mwanzo ,mtawezana vipi tena? tena mambo yenyewe ndiyo yalikuwa kwa mbwembwe zote.Piga chini huyo....ulambe matapish umekuwa paka weye?
Shosti poleeeee! So ukarudisha kabisaaaaaaaaa! Thubutu yangu!!!!!!!!!!! Labda aanze kunirudishia Uroda wangu wote niliompa!!!!!!!!!! NYAMAFFFFFFFFFFF KABISA!!!!!!!!!!!! Sirudishi hata aje anidai na Mdundiko!!!!!! Kiendacho kwa mganga hakirudi bibi wewe!!!!!!!!!
Akitaka akafungu jalada la madai mahakama ya mwanzo!!!!!!!

mmh,mi alinishinda mana mwanaume aliniganda anadai utadhan tuliandikishiana..nkaona icwe tab,acjenipa mkoc kila material thngsss..nkamkusanyia had makeup alizonunua..sa cjui alitumia yy mwnyw au..hahaha yan ungemuona anavyojirudisha sa hv..afu mi cna tym..cz cjawai kupokea cm yake,text anatuma mda wote cjui hana kaz ya kufanya