Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
-
- #61
Unahudumiaje mtu ajakukubali,alafu mume wa mtu huna mke ? Huna watoto au mna kusoma Cha Pesa???Nimejaribu kuuvaa uhusika naona nimeshindwa,inapotokea mtu amekupa fedha yake haimaanishi kuwa hana ndugu wa kuwasaidia pia,mwanaume anapokupa fedha haimaanishi kuwa amekuhonga ila ni kwamba anayavaa majukumu kama mwanaume
Nashindwa kuwaelewa wanawake,mkihudumiwa na wanaume wa maana linakuwa tatzo lkn,msipohudumiwa mnasema "wanaume wa leo hawajui kuhudumia wapenzi wao"
Hahaha Eliza usicheke rudisha hela ya watu..ikatafunwe wikiend imeanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,
Nishamtext naisubiri jibuHahaha Eliza usicheke rudisha hela ya watu..ikatafunwe wikiend imeanza
Dahhhh....
Hii ni moja ya mifano michache ya wadada wa jf, hivi kwanini mnapenda kututangaza...!!??
Tukiwapa pesa, kosa.
Tukiwanyima pesa, kosa.
Hivi ninyi viumbe, mbona mna miliki rangi nyingi zaidi hata zingine hazijulikani vyenye zinaitwa...!!??
Baaaasi show love kwa Mr.mmy mfanye na yeye ajihisi mwanaume flani ana weza pata kitu flani kizuri.πππKiss Siyo kitu kidogo Ni zaidi ya sex ,
ππππ Mapendo tele!Hii jamii tunayo ishi inabidi kuwa makini na maamuzi yeyote unayochukua, epuka kutoa lawama kwa wengine na kujumuisha watu klia ulifanyalo tambua wewe ndiyo mhusika Mkuu
TUJITEGEMEE ukikubali wajibu timiza wajibu
Dahhhh....
Hii ni moja ya mifano michache ya wadada wa jf, hivi kwanini mnapenda kututangaza...!!??
Tukiwapa pesa, kosa.
Tukiwanyima pesa, kosa.
Hivi ninyi viumbe, mbona mna miliki rangi nyingi zaidi hata zingine hazijulikani vyenye zinaitwa...!!??
Unahudumiaje mtu ajakukubali,alafu mume wa mtu huna mke ? Huna watoto au mna kusoma Cha Pesa???
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] Mapendo tele!
Hii comment....[emoji847][emoji847][emoji847]Kafufuka...hahaha
Ndo viapo vya wanaume.ile simpi hela yangu mpaka nionje papuchi yake.
Ila kuna wanaume wakikupa hela halafu unajitia udada au ulokole wanakua bitter on you vibaya mno.
Usikute na mzigo atapelekaMhh Ushujaa wa nyuma ya keyboard ' na Jf ni mama na mwana
Usikute na mzigo atapeleka
Eliza ndo umeamua kunianika hapa?
Nitumie pesa yangu isiwe matangazo.
0624455565
Kwahiyo mwanamke akikuomba hela ni kwamba Hakutaki?Nisiwachoshe
Pita kwanza hapa
Jaribio la kuomba hela
Hhahahaa uwi dunia in mambo jamani acheni tu Basi buana juzi Kati natoka dar-dom kwenye siti nimekaa na mtu mzima Sana, no stori Hadi tunafika,mbele Kuna kijana wa makamo ambaye kwenye kiti hatulii Ni Kama anatamani Mzee akaye mbele yeye arudi nyuma tukae wote (wabadilishane),Kila baada ya...www.jamiiforums.com
5G902EJTFGYH Imethibitishwa mnamo 9/7/19, 10:41 AM Toa Tsh120,000.00 kwa XXXX Salio lako ni Tsh XXX Lipia bidhaa mitandaoni kwa M-PESA MASTERCARD.
Ghafla ujumbe huo hapo juu unaingia ,nausoma umepokea 120 kutoka kwa...... Naanza kujiuliza Nani kanitumia hela???(mpenzi wangu wa chuo Hana hela ajawahi kunipa hata buku tano[emoji23][emoji23]).
Naona sms ,Lady of Destiny1 ni Mimi flani nimekutumia 120k sasa hivi siku ile ulivyoniomba ile hela nilikuwa Sina nikakosa la kukujibu,Nikaona Bora kukaa kimya
Sorry mamy .
Nimetaka kumjibu Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta alafu nikaacha kuandika ,hela sijaitowa na simu yake sijapokea bado,najiuliza nimwambieje sijui
#Kumbuka huyu mtu simtaki hata atume milioni mia
#KamaNiwewe ungefanyaje
Ushaliwa tyr...maana hakuna anayeweza thibitsha.(jokes)Hela haviwezi kununua thamani ya mwili wangu wewe[emoji2956],Kama hela yake ntarudisha Ila Siyo nivue nguo