Amerudi na muamala wa 120k

Muite mzungumze na umwambie ukweli kuwa una mtu mwingine
 
Asee!!, Unaweza epuka matatizo kwa kuwa nae mbali (mrudishie pesa yake).
Unaweza pishana na bahati yote mawili yanawezekana. Akili kichwani
 
Toa hiyo hela mblock,muhuni huyo
Real gentlemen hawakuagi hivo
Nimejaribu kuuvaa uhusika naona nimeshindwa,inapotokea mtu amekupa fedha yake haimaanishi kuwa hana ndugu wa kuwasaidia pia,mwanaume anapokupa fedha haimaanishi kuwa amekuhonga ila ni kwamba anayavaa majukumu kama mwanaume

Nashindwa kuwaelewa wanawake,mkihudumiwa na wanaume wa maana linakuwa tatzo lkn,msipohudumiwa mnasema "wanaume wa leo hawajui kuhudumia wapenzi wao"
 
πŸ‘©β€πŸŽ€πŸ‘©β€πŸŽ€πŸ‘©β€πŸŽ€πŸ‘©β€πŸŽ€πŸ‘©β€πŸŽ€ Sisiemu ni ile ilee oooo ile ileee
Hatunywi sumu hatujinyongiiiiii...........................................

Hebu irushe kwangu
 
Si uliwahi kumuomba lakini?
 



Nakuunga mkono hoja yako...sipend kbs kutumia nenp kuhongwa...!anaonesha kujali..na mbaya zaidi aliwah muomba hela...maskin.ya Mungu hakuwa nayo..hahaa..ndo mana mie sipendi kuomba omba hela aisee..!unapewa shida..unyimwe shida..ahhahq...sema na utoto unachangia
 
Kasome Uzi wake wa kabla.aneattch pale ndo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…