Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
mrudishie hela yake ,mwambie uliisha solve shida iliyofanya umuombe helaNisiwachoshe
Pita kwanza hapa
Jaribio la kuomba hela
Hhahahaa uwi dunia in mambo jamani acheni tu Basi buana juzi Kati natoka dar-dom kwenye siti nimekaa na mtu mzima Sana, no stori Hadi tunafika,mbele Kuna kijana wa makamo ambaye kwenye kiti hatulii Ni Kama anatamani Mzee akaye mbele yeye arudi nyuma tukae wote (wabadilishane),Kila baada ya...www.jamiiforums.com
5G902EJTFGYH Imethibitishwa mnamo 9/7/19, 10:41 AM Toa Tsh120,000.00 kwa XXXX Salio lako ni Tsh XXX Lipia bidhaa mitandaoni kwa M-PESA MASTERCARD.
Ghafla ujumbe huo hapo juu unaingia ,nausoma umepokea 120 kutoka kwa...... Naanza kujiuliza Nani kanitumia hela???(mpenzi wangu wa chuo Hana hela ajawahi kunipa hata buku tano[emoji23][emoji23]).
Naona sms ,Lady of Destiny1 ni Mimi flani nimekutumia 120k sasa hivi siku ile ulivyoniomba ile hela nilikuwa Sina nikakosa la kukujibu,Nikaona Bora kukaa kimya
Sorry mamy .
Nimetaka kumjibu Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta alafu nikaacha kuandika ,hela sijaitowa na simu yake sijapokea bado,najiuliza nimwambieje sijui
#Kumbuka huyu mtu simtaki hata atume milioni mia
#KamaNiwewe ungefanyaje
Acha udanga unaomba hela waume za watu?
Soma vizuri usikurupukeAcha udanga unaomba hela waume za watu?
Hela haviwezi kununua thamani ya mwili wangu wewe[emoji2956],Kama hela yake ntarudisha Ila Siyo nivue nguoPunguza roho mbaya mpe jamaa yetu mzigo. Hali ya sasa mwanaume kutoa 120,000 kwa mdada ni bonge ya Heshima, piga moyo konde malizana nae.
Usionyeshe nyodo ama hasira bali tumia busara za hali ya juu kuweka msawazo.
Usiwe mchoyo jamaa ameshow love amejitahidi kiasi chake na wewe kuwa mungwana nenda hata apate kiss toka kwako kumnyima vyote utakuwa umehujumu moyo wake.
Hela haviwezi kununua thamani ya mwili wangu wewe[emoji2956],Kama hela yake ntarudisha Ila Siyo nivue nguo
Kumbuka vyuma vimekaza alafu nywele zimefumuka tayari ha ha wadada wa darNamjibu asante ila shida yangu tayari nimesha itatua hivyo hii hela nakurudishia itakusaidia mambo mengine,
Kafufuka...hahaha
Ndo viapo vya wanaume.ile simpi hela yangu mpaka nionje papuchi yake.
Ila kuna wanaume wakikupa hela halafu unajitia udada au ulokole wanakua bitter on you vibaya mno.
Ok gudSasa kama huzitaki pesa zake si-umrejeshee tu Muamala wake ...Hiyo itakuwa ni Lugha bora sana ya kimuonyesha kuwa haumuhitaji. ...na nidhani ataacha kukufuata fuata kama ni muelewa