American Computer scientists say they have strong evidence election was rigged against Clinton

hayo mambo yanawezekana kwe nchi kama Russia, turkey, Syria au Venezuela yaan design ya nchi ambazo zina authoritarian leadership, kwe nchi kama US ama zile za western europe inakuwa ngumu mno kubadilisha zile foreign policies za nchi......kumbuka pia hata republican wenyew kuna mambo meng tu wanatofautiana na trump likiwemo swala la mahusiano ya marekan na russia. akizingua wanaweza hata kum impeach tena itakua rahisi tu maana hata repiblican wenzake wanaweza mkana..yule mwenzie alipigwa blowjob ofisin wakataka kum impeach sema akatokea kwe tundu la sindano..moja kati ya maswala ambayo yataleta utata kwe utawala wake ni jins atakavyoish na putin coz kumbuka marekan imewin ushwish eastern Europe kwa kui demonize Russia, sasa leo yeye ansema russia is not a problem hahahaaa anaua biashara za kina boeing na lock held there is no way wenye nchi wakakubali hio kitu kabisa
 
Hii itasaidia nini tena na mfumo wa marekani ni wale wajumbe 538? ata Clinton apate kura milion ngapi kwenye wajumbe wa majimbo tayari wamemkubali Trump. sioni mvuto wowote mana haitabadilisha matokeo.
Kura za wajumbe bado hazijapigwa mpaka tarehe 19/12/2016. Na kama kura zitahesabiwa upya na kutoa matokeo tofauti basi huenda swala hili likafika mahakamani na kuamriwa mshindi wa kura halali katika hayo majimbo. Na kama Clinton kashinda basi Trump atapokonywa hayo majimbo na Urais unahamia kwa Clinton.But mpaka kura zihesabiwe upya.
 
Hii itasaidia nini tena na mfumo wa marekani ni wale wajumbe 538? ata Clinton apate kura milion ngapi kwenye wajumbe wa majimbo tayari wamemkubali Trump. sioni mvuto wowote mana haitabadilisha matokeo.
Ujaona hapo imeandikwa zikijumlishwa kura za majimbo ameibiwa kura 46 za majimbo
 

Hawa wapuuzi; siyo wao waliokuwa wanadai kabla ya uchaguzi kuwa Trump alikuwa anaonesha kutooamini system? aliposema kuwa "system is rigged" na kuna uwezekano wa "voter fraud" ni wao waliosimama na kusema haiwezekani. Kwa vile Hillary kashindwa sasa wao ndio hawaamini system?
 
Sidhani kama muujiza mwengine utatoke kwenye huu uchaguzi wao zaidi ya ule uliopita wa Trump kuibuka mshindi.
 

Unazungumzia uchaguzi upi? wajumbe wapi ambao hawajapiga kura? Trump katika kura za wajumbe tayari amempita Clinton zaidi ya kura 270 tayari zimehesabiwa na Clinton amekubali kushindwa sasa kura zipi hazijahesabiwa., hizo kura za wananchi sasa hazina mvuto tena
 


Msikilize huyu Mpinga Kristo Obama, siku zote Mungu hamfichi mnafiki, sasa leo hii wao ndiyo wanaolia kuibiwa kura!

 
Watu bado wanajifariji tu,hii ndo shida ya kuwa na mategemeo makubwa kupita kiasi
 
Na ktk account yake ya twitter bado mama Hillary anapambana, kuna maslahi makubwa sana yapo hatarini na Trump atatishwa mpaka acompromise au vinginevyo afunguliwe mashtaka na bunge, tayari risasi zimeshaanza, tusubiri mabomu nk huyu mama ni crooke kweli kweli, tusubiri tuone, na maandamano yanaendelea huku yakichochewa na pesa,
 
Binafsi napenda Hillary aappeal ili America nayo ionje joto ya jiwe ya uchaguzi kama ilivyo kwa nchi za Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…