Ukoloni mpya umeingia duniani ambapo taifa lenye nguvu za kijeshi na linalopungukiwa nguvu za kiuchumi linazidi kutanua makucha yake.
Tayari wana makoloni katika central Asia ambayo ni Afghanistan na Pakistan.Kwa upande wa mashariki ya kati wamekuwa na vikoloni viwili kwa muda ambavyo ni Kuwait na Qattar huku ikijiimarisha kwenye koloni lake jipya la Iraq.
Kwa Afrika wamechagua koloni lenye utajiri mkubwa wa mafuta ambalo ni Libya.Kupitia Libya inatarajiwa nguvu kubwa itapatikana kuzitawala nchi zote za Afrika na mashariki ya kati.
Tofauti na ukoloni mkongwe ambapo udhaifu wa mababu uliwezesha kutawaliwa kirahisi kupitia hadaa kama za kuoneshwa sura yake mwenyewe mtu kwenye kioo.Ukoloni wa sasa unatumia teknolojia ya habari na silaha za maangamizi kuwatisha na kuwauwa wababe hata kama wana elimu na teknolojia kuliko mababu wa enzi zile.Kwa upande mwengine mpira wa miguu na sinema vimekuwa viota madhubuti vya kuzalisha mazuzu yanayounga mkono ukoloni huu mpya kama wanavyoonekana maeneo mbali mbali Afrika na mashariki ya kati.
Ilo jani safari hii Ami kaamua kulivuta peke yake!Tupo wote lakini umetunyima jani.

Nakabuliana na wewe kwa asilimia zote, kwanini nguvu hizi hazijaelekezwa somalia, Syria na hata sudan kusini? wamefanikiwaUkoloni mpya umeingia duniani ambapo taifa lenye nguvu za kijeshi na linalopungukiwa nguvu za kiuchumi linazidi kutanua makucha yake.
Tayari wana makoloni katika central Asia ambayo ni Afghanistan na Pakistan.Kwa upande wa mashariki ya kati wamekuwa na vikoloni viwili kwa muda ambavyo ni Kuwait na Qattar huku ikijiimarisha kwenye koloni lake jipya la Iraq.
Kwa Afrika wamechagua koloni lenye utajiri mkubwa wa mafuta ambalo ni Libya.Kupitia Libya inatarajiwa nguvu kubwa itapatikana kuzitawala nchi zote za Afrika na mashariki ya kati.
Tofauti na ukoloni mkongwe ambapo udhaifu wa mababu uliwezesha kutawaliwa kirahisi kupitia hadaa kama za kuoneshwa sura yake mwenyewe mtu kwenye kioo.Ukoloni wa sasa unatumia teknolojia ya habari na silaha za maangamizi kuwatisha na kuwauwa wababe hata kama wana elimu na teknolojia kuliko mababu wa enzi zile.Kwa upande mwengine mpira wa miguu na sinema vimekuwa viota madhubuti vya kuzalisha mazuzu yanayounga mkono ukoloni huu mpya kama wanavyoonekana maeneo mbali mbali Afrika na mashariki ya kati.
UNLESS YOU BACK UP YOUR ASSERTIONS WITH TANGIBLE AND REALISTIC EVIDENCE, i CAN ONLY DISMISS YOUR THREAD AS ONE OF THOSE LIBERAL/LEFT LEANING AND UNSUBSTANCIATED CONSPIRACY THEORIES, AU LABDA UNA AGENDA ya SIRI UNAYOIFICHA BETWEEN THE LINES, VINGINEVYO TUELEZE AMERICA WAMECOLONIZE VIPI PAKISTANI, ZAIDI YA UKWELI KWAMBA WAKO HUKO KUTAFUTA MAGAIDI, au tueleze kama una Conflict of Interest na Agenda ya Ugaidi!ambayo moja ya malengo yake ni kuiona America iliyoodhoofika ili kutimiza malengo ya kugaidi ya kuingiza ukoloni wa kidini kupitia alqaeda??!!! Halafu kuna Tatizo gani kama serikali halali ZA Kuwait na QATAR Zimeamua kukaribisha taifa "Rafiki" la MAREKANI KUWEKA MILITARY BASE KWENYE NCHI YAO WEWE MSWAHILI INAKUUMA NINI!!!????
Jani lenyewe ni kama yale yanayotokea Libya jana na leo.Ambalo nilisahau kabla ni hizi chaguzi za kidemokrasia na kuunga mkono tawala za kifalme.Tupo wote lakini umetunyima jani. Fafanua zaidi juu ya kupata masoko kupitia culture ,, Music Lugha michezo na etc. Tupe mwongozo jinsi ya kutumia vyombo vya habari kututrick. Sema ni namna gani waweza ingizwa mkenge na western kama uswahiba savimbi etc.
Kabisa!,Rweye.Ami umegusa maeneo nyeti ya kisayansi ya ukoloni mpya japo wengine bado hawajakupata,katika hali kama hii ambayo mafuta,madini na vyanzo vingine vya uchumi vinaonekana kuhitajika na kila nchi,Marekani yenyewe inatumia ukoloni wa kisayansi wa kusaidia vita,kusaidia kupambana na maradhi,kutoa uduma za kibinadamu huku wakizidi kuingiza sera zao karibu katika kila nchi k2 ambacho wamefanikiwa
Tofauti na wenzao walioonekana kutumia sana mabavu enzi za nyuma wao mabavu ni sehemu ya mwisho lakini mwanzo wanatengeneza mazingira ya wewe kuingia mwenyewe huku wakitumia pesa kidogo kupata nyingi,wakitumia vyombo vya habari kuvutia na kuharibu uwezo wa vijana kufikiria e.g bongo fleva,na kuvaa nusu uchi ili wapate kufanya kitu kinaitwa cultural imperialism
Tumekubali kutawaliwa kiteknolojia na kisomi na sera za maendeleo zinapangwa NY city
Kabisa!,Rweye.
Jengine ni kila nchi kulazimishwa kuwa na wizara ya wanawake na watoto.Hii wizara ni moja ya vipenyo vya kupata watu mazumbukuku ya kuunga mkono ukoloni huu mpya.
Muda umefika wa kila kiongozi kuja na sera zake ili tupime akili yake.Tungekuwa na maraisi angalau watatu kama yule bedui-Ghadafi mambo ya dunia yasingekuwa kama sasa ambapo watu wanaoitwa wasomi hutumia ujinga kutawala raia zao.
Hapo ndo wakati mwingine huwa najiulizaga kama aidha swaumu imekuzidi mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani au labda kama sio hivyo basi umekula msuba wa Kitonsa. Manaake fikra zako zinanichanganya!Kabisa!,Rweye.
Jengine ni kila nchi kulazimishwa kuwa na wizara ya wanawake na watoto.Hii wizara ni moja ya vipenyo vya kupata watu mazumbukuku ya kuunga mkono ukoloni huu mpya.
Muda umefika wa kila kiongozi kuja na sera zake ili tupime akili yake.Tungekuwa na maraisi angalau watatu kama yule bedui-Ghadafi mambo ya dunia yasingekuwa kama sasa ambapo watu wanaoitwa wasomi hutumia ujinga kutawala raia zao.
Kuna jamaa alikuwa anamshutumu Askari kanzu kuwa yupo kwenye payroll ya wakoloni.Ikiwa ni hivyo huenda muko pamoja.Mzee mbona unatuingiza choo sicho. Wizara ya wanawake na watoto na bedei gadafi zinahusiana vipi na kichwa cha mwongozo wako. Aisee mi natoka nje ya ukumbi sasa unless uombe radhi. La sivyo nitatumia ur facial expression ku kujudge otherwise.
Kuna jamaa alikuwa anamshutumu Askari kanzu kuwa yupo kwenye payroll ya wakoloni.Ikiwa ni hivyo huenda muko pamoja.
Inatia shaka kwamba baadhi yenu munaelewa facial expressions zetu kiasi hicho hata munatishia kuzitumia kutuanika.
Ukiangalia topic za Askari na jinsi ambavyo nyengine zote zinachanganywa kwake ili zisianguke utajuwa hiyo hali.
Akina Muhadhiri wamechoka wakajiondoa kwa hofu kwamba hili ni jukwaa linalogharamiwa na wakoloni kuendeleza ukiritimba.Asanje ametutonya tayari.
Mimi bado nipo ikiwa sitoonekana nuksi kwa wakoloni nikabughudhiwa kama akina Malaria na Faiza.Nipo kwa vile kama Mrema naamini sikuzaliwa nikiwa na JF.
Hivyo vitu na vyengine hukuvitaja kwa mfano ujinga,uchoyo,uroho kinyongo,kiburi,ubarakala.......Sorry kama nimekuudhi. Lakini unapochangia usionyeshe element fulani ambazo watu watakudge vinginevyo. ''Wizara ya wanawake na watoto"' hii inaleta maana gani. Askari kanzu nimepishana nae kwa sababu tu ni kuwa nae pia ana msimamo ambao umeegemea kwenye mtazamo fulani ambao wewe na yeye hamuwezi katu kukaa pamoja. Pia naweza kuwa na msimamo na wewe wa mambo fulani lakini si kwa sababu zinazofanana. Ili uweze kuchangia vema yapasa utoe hisia zozote ambazo kama utaziweka hadharani zitaleta shida. i.e UDINI, UKABILA UKANDA AU KIPATO.
Hivyo vitu na vyengine hukuvitaja kwa mfano ujinga,uchoyo,uroho kinyongo,kiburi,ubarakala.......
Mara nyingi huwa tunaonyana kuviwacha lakini si rahisi kwangu, kwako,kwa Askari na kwa JF.Kila mmoja huwa ameathiriwa na kimojawapo au zaidi.Binafsi sivipendi lakini najuwa sina namna ya kuvizuia.Vyengine vina tiba na vyengine ni sugu kwa baadhi ya watu. Na wewe sina shaka huwezi kuonesha mfano kuwacha kile kinachokuathiri.Nikukusoma kidogo tu nitakuleza ukoje.Ukiniangalia mimi utagundua nimeathiriwa na kipi kati ya hivyo.
Mambo yanayotokea Libya na Iraq ni uroho na udini.Kule Gaza ni kiburi cha Israel chenye chembe za udini.Hapa JF ni ukabila na udini kwa upande wa member.Kwa uongozi kutakuwa na mengine. Si rahisi kumshawishi Askari kanzu akaamini kuwa Ghadafi ni mwafrika.Ujinga nao unawafanya baadhi yetu tusione kwamba Libya inakaliwa na binadamu kama sisi.
Kwa hayo Kidzude utapata tabu kulazimisha kuyaondoa na kunyoosha michango yetu isioneshe hisia zake........falsafa za Ami