kitochi smart nduguUnatumia simu ya aina gani hiyo mkuu?
Watakujatu wewe wangojee ila kwan turampet c alisema hakuna hata alopata injury[emoji16][emoji16]Ila hili jambo linaweza kumghalimu pakubwa sana Trump kwenye uchanguzi ujao asipo cheza nalo vizuri maana wapinzani wake wanaweza kulitumia.
Hapa haiitaji elimu ya chuo kikuu ili ujue ya kwamba kuna kitu ambacho marekani inakificha.
Na inavyo onekana hilo shambulizi lilisababisha maafa makubwa sana tofauti na watu wanavyo fikilia.
Iran kusema wanajeshi 80 waliuawa na zaidi ya 200 kujeruhiwa sidhani kama ilikuwa propaganda wenda ikawa kweli ,kwa sababu Iran imejaza majasusi na vibaraka ndani ya mfumo wa utawala nchini Iraq ,kuanzia kwenye vyombo vyote vya usalama kwa hiyo kila kitu kilicho kuwa kinafanyika ndani ya kambi hiyo baada ya shammbulizi Iran alikuwa anajulishwa.
Nawasubili wamarekani weusi watoe mapovu kwenye hii coment.
Uko sahihi kabisaIla hili jambo linaweza kumghalimu pakubwa sana Trump kwenye uchanguzi ujao asipo cheza nalo vizuri maana wapinzani wake wanaweza kulitumia.
Ila hili jambo linaweza kumghalimu pakubwa sana Trump kwenye uchanguzi ujao asipo cheza nalo vizuri maana wapinzani wake wanaweza kulitumia.
Hapa haiitaji elimu ya chuo kikuu ili ujue ya kwamba kuna kitu ambacho marekani inakificha.
Na inavyo onekana hilo shambulizi lilisababisha maafa makubwa sana tofauti na watu wanavyo fikilia.
Iran kusema wanajeshi 80 waliuawa na zaidi ya 200 kujeruhiwa sidhani kama ilikuwa propaganda wenda ikawa kweli ,kwa sababu Iran imejaza majasusi na vibaraka ndani ya mfumo wa utawala nchini Iraq ,kuanzia kwenye vyombo vyote vya usalama kwa hiyo kila kitu kilicho kuwa kinafanyika ndani ya kambi hiyo baada ya shammbulizi Iran alikuwa anajulishwa.
Nawasubili wamarekani weusi watoe mapovu kwenye hii coment.
Tatizo sio kujua hilo ttzo nilipi MKUU tatizo Nihilo Tatizo Limesababishwa Na Nini Na Kwa Nn ?!Watu hawaelewi maana ya concussion wamebaki kushabikia ujinga,jf imepoteza hadhi ushabiki wa kijinga kabixa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku watakuja tu kuusema ukweliTrump alikuwa anaichimba biti Iran na kuitisha baada ya kumuua Qaseem Solemani ili waogope,kinyume Iran ikafanya kweli bila kuogopa,kitu ambacho marekani haikutarjia.Kama kuna mtu makini alifuatilia yale matukio,kuna tetemeko la ardhi lilitokea kusini mwa Iran,Trump akasema ni tetemeko la asili tu,kitu ambacho sio cha kweli, ukweli ni kwamba Iran ilifanya "under ground nuclear test" kuitisha marekani.ukweli ni kwamba wanajeshi wa marekani walikufa sana.
Povu[emoji23][emoji23]Watu hawaelewi maana ya concussion wamebaki kushabikia ujinga,jf imepoteza hadhi ushabiki wa kijinga kabixa
Sent using Jamii Forums mobile app