Nakimbizwa
Senior Member
- Jun 19, 2023
- 154
- 303
Zamani nilikuwa na waza kama ww kwamba U.s.A ina watu wenye akili kumbe nilikuwa ninajidanganyaEndelea kuota USA huwezi linganisha na empire zilizopita hawa jamaa wana mipango ambayo iko well calculated.
Ipe miaka 100 mbele,ila kwa sasa sahau.
Haya ndiyo yalikuwa mawazo kabla ya ukuta wa Berlin kuanguka! Warusi ulikuwa huwambii kitu. Walikuwa wanasema Marekani imebaki siku chache ianguke. Badala yake warusi ndiyo walioanguka. Udiktekta kamwe hautaweza kushinda uhuru wa mawazo. Na kadiri siku zinavyosonga na binadamu kujitambua ndivyo udiktekta unazidi kubomolewa.All creatures on earth obey a dictatorship.
Nyuki wanamworship malkia bila kujua kwanini...kazi yake ni kuzaaa tu ila wao wanamtafutia kila kitu,chakula kumlimda na
Wananchi wote tunamtafutia Raisi wetu chakula maana yeye halimi.
Tunampa chakula plus Security, ili yeye atuongoze vile atakavyo maana hatuwezi kujiongoza wenyewe kwa umoja tunahitaji establishment ya kutuongoza.
Kwahy hamnatofauti kumwa kati ya nyuki na wanadamu.
ila democracy inadisobey law ya dictatorship among all creatures.
Hivyo marekani walijitahid kuanzia wapate uhuru miaka ya 1700's mpaka leo... ila inevitably binadamu wamechagua upande mmoja mkubwa kuliko yote uwaongoze.
Ambapo saivi wamarecan wamechagua kuwa libertarian.
Na kwa sasa cancel culture, democrats na woke and LGBT society ndiyo imeshikilia mpini kwasasa.
Wameshika Medias,police and institutions zote.
Kwahyo inevitably hakuna balance of power kati ya republicans and democrats.
Kwahyo needless to say kwa saivi Kamala ndiyo atashinda kumpita trump, na sio kwasababu ya kura bali ni kwasababu democrats wana power kubwa juu ya libertarians.
Wanacontroll a
Majority of thoughts and propaganda propagated through USA media are democraticish.
Na kwasababu all empires are doomed to fall whenever they gain absolute power,(eg. ROME, Ottoman, mongolian empires etc.) Democrats watashikilia power lakini wataanguka, pale marekani itakapoanguka na either communist au asian au islamic systems ndiyo zitatakeover na kutawala dunia.
America is falling.
Huyu hajui msamehe...kwanza btw kuna nchi nyingi tu ambazo wananchi wake wana IQ kubwa on average kuliko americans, eg. China, Israel, Asia and even most European countries.Zamani nilikuwa na waza kama ww kwamba U.s.A ina watu wenye akili kumbe nilikuwa ninajidanganya
Miaka 100 mbele ndo watakuwa more powerfullyEndelea kuota USA huwezi linganisha na empire zilizopita hawa jamaa wana mipango ambayo iko well calculated.
Ipe miaka 100 mbele,ila kwa sasa sahau.
Tutarudi kwenye huu uzi baada ya miaka kadhaa na utasema...."Jamaa alisema bwana"Mkishakunywa wanzuki zenu huko vilabuni vijijini Madongo kuinama ndivyo mnavyo danganyana na kuja kumalizia pombe zenu huku JF...
Achana na ndoto za ndaria.
Yani huwezi kulinganisha work ethic/dedication ya msanii underground anayepambana atoke na yule star ambaye tayari mziki umeshamlipa ashakuwa na jina hata akitoa nyimbo mbaya inatrend.Endelea kuota USA huwezi linganisha na empire zilizopita hawa jamaa wana mipango ambayo iko well calculated.
Ipe miaka 100 mbele,ila kwa sasa sahau.
Kwamba ukagundua ni wasio na akili ukilinganisha na akina nani?Zamani nilikuwa na waza kama ww kwamba U.s.A ina watu wenye akili kumbe nilikuwa ninajidanganya
Endeleeni kusubiri embe chini ya mnazi.Tutarudi kwenye huu uzi baada ya miaka kadhaa na utasema...."Jamaa alisema bwana"
Waliifikikisha hapo hawapo tena wapo aikina blink na Tony cruz wanaowaza kuweka vikwazo hata kwa makmpuni yao ambayo yamepambana kutafuta soko la,uhakika halafu anatokea mwanasiasa anasema amna kufanya kazi na yuleKwamba ukagundua ni wasio na akili ukilinganisha na akina nani?
Miaka 100 mbele ndo watakuwa more powerfully
Uwepo au kutokuwepo kwa Allah hakuusuani chochote na huu uzi.Hawa ndio wale wanaotoa laana wakumuomba Allah kila siku kwa kuchant Death to Israel Death to America mwishowe wanakufa wao tu.. Allah ni fabrication theory is not exist tatizo ni kwa wale wanaeneza stupid teachings tizameni Taleban na Iran
Empires zote huwa zinakusanya mali za kutosha, ila kuanguka ni inevitableNchi yenye uchumi wa 29 trillion alafu unawaza idondoke?