Amenitenda ila bado ananing'ang'ania!

mhm huyo dada kakaa kimgegedo gegedo tuu. ebu endelea nae kupata utamu ila sio wakuoa

True bro, akijifanya yupo ki future zaidi ataumia, we kula kipango wako waachie na first year wafaaidi
 
Goma lako tu hilo wenzio kuonja siku mojamoja sio ishu mtoto anaonyesha wazi kalalia kwako
 
We mwalimu!tafuta mtu wa level yako,huyo binti humuwezi,we huna hela..kaa mbali nae kabisa.

Level yako unamaanisha nini? Niko vizuri ktk kutafuta level napiga nyuz ya kwanza mwaka huu!
 
Mapenzi mapenzi mapenzi!!! Believe me, kutokutumia akili kwenye maisha ni janga!!! Ulimzoesha pesa ya nini wakati ulijua anaweza kupata mahitaji yake kutoka kwa wazazi?? Unavuna ulichopanda mkuu, ulizoea kununua mapenzi, sasa mshahara umekatwa, hata mwaka hakuna tayari huyo "mkeo" ameshapata mwingine wa kuku-replace!! Suppose uko kwenye marriage, ungefanyaje??

My take:
Kama unataka mke, pesa uliyonayo isikupe kiburi na usidhani ndo kigezo cha kumpata mke mwema!! La maana muombe Mungu akuongoze umpate mke mwenye hofu ya Mungu. Jiandaeni kiakili kuwa na mahusiano. Kutokujiandaa kiakili maana yake mtajiandaa kimwili!!!
Hamtafika mbali. Na kiukweli, huyo dada hafai kuwa "wife material".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…