Mmekutana wote wasanihi. Kaeni chini myamalize. Unavyoendelea kukaa kimya na yeye anapoteza muelekeo. Fanya maamuzi. Halafu sijui kwa nini wanaume wa siku hizi hamna maamuzi wenyewe kukaa kimya au kukata mawasilino ndio solution.
Kama uliweza mwanzoni kumfuata na kumtongoza, linapotokea tatizo ugumu unakuwa wapi kumfuata tena na kuongelea mustakabali wenu!
christine ibrahim mwongozo tafadhali
Vidume mmekuwa makoko now days! hamjui muamue nini ktk mahusiano yenu,,,ukiona halipi tupa kule,,,, ila ukiona kuna fyucha mwambie nimekusamehe ila ukirudia tena nakukata masikio. kwani we ndo ulimtoa bikira... si kuna mtu alikuwa anamramba... acha ufala toa maamuzi,,, mbona wkt wa kumpenda hukuleta hoja hapa... alafu ikishamuoa tu migogoro ya ndania ya nyumba ndio nyie mnapeleka kwa washkaji si mshazoea jf ndo suluhisho... jifunze kutumia kichwa yako ktk matatizo yako binafsi. malalamiko tu hata kwenye pooor solution aghaaaaaaaaaaaa.
Hapo umenifurisha kitu kimoja usimng'ang'anie..maisha bila mapenzi ni kweli sio ya furaha ila yana Amani..
Kwanza rekebisha heading, anakung'ang'ania au wewe ndo unamg'ang'ania? Swala akikurupushwa alilipolala, huwa harudi tena eneo hilo! Unafikiria fikiria nini tena, kwani ulikuwa unachimbua madini humo! Shauri yako.
Achana nae asikusumbue akili.
Mh! Kazkwelkwel!! Mapenzi bana!! Japo umenichangnya kdog na usimuliaj wako but unaonekan bado unampenda.so take her 4 your own hapness!!
hivi mbona mnaendekeza mapenzi na shule? mbunye zipo tuuu haziishi
I've come to realize that the real monsters are women!
amsamehe aendelee kuwa naye au amsamehe halafu achape lapa?
dafuq....i'm still single and don't give a shit