Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,261
Mimi nachukia sana kuona mwanume mwenzangu annalialia tena kwenye mitandao, halafu huyo unaemlilia hata sio mkeo na wala sio mpenzi ambae tunaweza sema tayari mshandika history, mzee chapa lapa songaaa
"wakikumegea dem wako, nawe tafuta mnyonge ummegee, haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume" Mwana FA[/QUOTE
Kuiba dem wa mtu sitaki
ulifanya faulo kumrudia! kwani alikuwa kabadilika nini na mwanzo? kumrudia mpenzi aliyekuumiza mwanzo ni sawa na kusoma novel uliyokwisha isoma na unajua stoty yake itaishaje! sio kila mwanamke anastahili kupendwa! wengine mapaka hata umpe kilo ya nyama akiona samaki atakukimbia!
ulifanya faulo kumrudia! kwani alikuwa kabadilika nini na mwanzo? kumrudia mpenzi aliyekuumiza mwanzo ni sawa na kusoma novel uliyokwisha isoma na unajua stoty yake itaishaje! sio kila mwanamke anastahili kupendwa! wengine mapaka hata umpe kilo ya nyama akiona samaki atakukimbia!
ulifanya faulo kumrudia! kwani alikuwa kabadilika nini na mwanzo? kumrudia mpenzi aliyekuumiza mwanzo ni sawa na kusoma novel uliyokwisha isoma na unajua stoty yake itaishaje! sio kila mwanamke anastahili kupendwa! wengine mapaka hata umpe kilo ya nyama akiona samaki atakukimbia!
Mimi nachukia sana kuona mwanume mwenzangu annalialia tena kwenye mitandao, halafu huyo unaemlilia hata sio mkeo na wala sio mpenzi ambae tunaweza sema tayari mshandika history, mzee chapa lapa songaaa
Yaani hawa jamaa wanashangaza sana. Utafikiri hao mademu wana hati miliki nao.Mimi nachukia sana kuona mwanume mwenzangu annalialia tena kwenye mitandao, halafu huyo unaemlilia hata sio mkeo na wala sio mpenzi ambae tunaweza sema tayari mshandika history, mzee chapa lapa songaaa
Mkuu umenenaa mm leoo hii nimemfuwaa wanguu akishhukuriwaa na mwanaumee mwingie SMS inasemaa hivii"baby asante Sana'a Leo kwa kunipaa kotekote yaan nime enjoy Sana'a na hyoo lakii nilyokupaa n ndogo nitakuongezea kesho nyingine baby Wang""dem nayee akijibu " poaa baby wangu nitakupaa jinci utakavyoo"daaaaa kiukwelii nimeshindwaa cha kumfanyaa huyuu dem nimemtimuaa tu lkn anavyonisumbuaa mpk nataman kubadilishaa nambaa