Amekuoa lakini lazima asote kupata tendo la ndoa

Ndio maana kutwa mnahangaika kupeleka majogoo wekundu kwa waganga kutafuta wanaume. Kumbe mchawi ni wewe mwenyewe na akili yako ya kijiko cha pilipili.
 
Mi ukinikatalia siku hiyo hiyo unarudi kwenu....yaani nimetoa mahali halafu uanze kunipangia .......Aiseee!

I wish i culd be.....
 
Kwani nani alisema ukiolewa uwe mnyonge ??? Kwahiyo ndiyo kila siku awe aninaniliu ? Aaah !! Hapana
Huyo aliye kuoa inaonekana ni mwanaume wa Dar....mwanaume wa mikoani hawezi kuvumilia ujinga wa namna hiyo.
 
Kwa ushauri wako inaonekana umekosa Mme kwa hiyo unawadanganya wenzio ili waharibu kazi uolewe wewe.
Natoa rai kwa wanawake (sio wasichana) kuupuzia ushauri wa huyu msichana maana hauna malengo mazuri na ndoa zenu
 
Mi ukinikatalia siku hiyo hiyo unarudi kwenu....yaani nimetoa mahali halafu uanze kunipangia .......Aiseee!

I wish i culd be.....
mfano nimekuambia nimechoka, au sijisikii am niko mp utanifanya nn ? Waoneeni hao hao waliobadili ndoa kuwa hifadhi y'a maisha yao. Not me. Never in my life
 
Kwa ushauri wako inaonekana umekosa Mme kwa hiyo unawadanganya wenzio ili waharibu kazi uolewe wewe.
Natoa rai kwa wanawake (sio wasichana) kuupuzia ushauri wa huyu msichana maana hauna malengo mazuri na ndoa zenu
Lengo siyo kuwafanya wanawake waachike, bali watambue haki zao. Siyo kila siku waafanyishwa ngono bila ya ridhaa yao
 
Ndio maana kutwa mnahangaika kupeleka majogoo wekundu kwa waganga kutafuta wanaume. Kumbe mchawi ni wewe mwenyewe na akili yako ya kijiko cha pilipili.
Kama bado kuna wajinga wa namna hiyo, wape pole. Wanaume wanavyo nishobokea namna hii naanzaje kwenda kwa mganga ? Ni suala la mm kuamua huyu nimkamate au nimpotezee ? Nikiamua kumkamata mwanaume yeyote chini ya jua hili namkamata. Tena manaume ya kiafrika ndiyo kabisaaaa. Hakuna cha maana mnachowaza zaidi ya ngono kwenye vichwa vyenu.
 
Hongera sana mwanamke wa Kiafrika!
 
Kugegeda kunamchakaza mwanamke.ungesema kuzalishwa ningekubali .Huu ushauri uliowapa wenzako ni mbaya sana muupuze utaharibu ndoa zenu
 
Hofu ya nn ? Mm Nimesema mwanamke atoe mzigo anapojisikia. Kwa hiari na tahadhari kubwa. Mbona povu ? Kwani k za wake zenu ni zenu ?
 
umri wako p'se

umeolewa?!!

unamawazo ya kitoto,wt's so special to u,mpk ukiolewa uwe hivo?

nakushauri usiolewe.
 
Back
Top Bottom