Amekukosea nini huyu?

happiness win

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,461
Reaction score
1,394

Jamani inaumiza.... Khaaa! Kiumbe huyu amefanya kosa gani kwako au Kwa Mungu inayostahili adhabu anayopewa? Nijibuni... naumia
 
dah inauma sana aisee,,,, uyu ndo yle wa rukwa?
 
Jamani!!!
Hivi huwa tunawaza kuwa kuna Mungu kweli?
 
Jamani!!!
Hivi huwa tunawaza kuwa kuna Mungu kweli?


Eti wanatafuta utajiri au uongozi au chochote kwa njia hii! Hawa hawakuomba waumbwe hivi jamani. wao wanajiona ni bora zaidi na wanatoa uhai wa viumbe visivyo na hatia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…