Huyo Dokta muuaji.Huyo dada ajihesabu ni 'single mother' .Aondoe mawazo kwa Dokta apigane kivyake. Abadili tu mentality yake kuwa anaweza kulea na Mungu atamfanyia wepesi.
mwambie avumilie mpaka ajifungue akishajifungu aende mahakamani sheria ya mwaka 2009 ya watoto itamlinda mtoto atahudumiwa tu huyo. tena na mipango ya ndoa ilikuwepo yaani mambo yataenda safi kabisa mahakamani