Jimmy George Sanga
Senior Member
- Jan 28, 2022
- 134
- 251
Hata mimi ningemnyima nafasi ya kufundisha shuleni kwangu, mwalimu wa kiswahili anaandika 'tafadhari?' Tena kasomea Zanzibar kulikozaliwa kiswahili!Habari za wakati huu wakuu,
Leo nimekutana na jamaa yangu ivi muhitimu wa chuo kikuu akiwa anauza ubuyu ni classmate wangu primary, Basi tukapata wasaa wa kupiga stori mbili tatu ambazo kwa kiasi kikubwa ulipelekea kuamini ule msemo wangu kwamba kwa Tanzania hii elimu sio dili, jamaa alikua ana akili balaa sema ndo ivo tu sasa hivi anatembeza ubuyu kazi ambayo ilipaswa kufanywa na watu wa aina yetu sisi.
Tuliokimbia shule kitambo[emoji28][emoji28][emoji28] lakini saivi angalau nasi tunamiliki funguo ya chumba. Sijisifii ila huo ndo ukweli hata wewe apo unaesoma huu uzi kama umefika elimu ya juu jilinganishe uwezo wako kimaisha na yule ulie mwacha darasa la saba ni Mbingu na Ardhi.
Jamaa kwa jina anaitwa Jimmy, ni muhitimu wa kozi ya ualimu katika masomo ya jiografia na kiswahili (EGK) 2021. Katika moja ya chuo kilichopo visiwani. Ni kijana alietoka katika familia ya wakulima, akipata mkopo wa serikali wa 50% ambao amekua akijilipia ada pamoja na kusaidia nyumbani kwao.
Baada ya kuhitimu masomo yake akaamua kuomba nafasi katika shule mbalimbali kwa kujitolea ili aweze kuongeza uzoefu ili zikitokea nafasi sehemu awe na uzoefu fulani, lakini wahenga husema "Ng'ombe wa maskini hazai, akizaa kitoto kinakufa" ndo kitu kilichomtoke kwani mpaka wakati huu hakuna jibu lolote toka kwenye shule alizoomba kijana huyu, mpaka inafika mahali anakata tamaa ya kuendelea kufanya maombi hayo.
Kwa sasa kijana huyu ameamua kujiajiri kwa kuuza ubuyu pendwa wa visiwani, mtamu na mzuri kama sifa zilivyo za ubuyu ule wa visiwani, akiuza kwa kuutembeza mitaani mwingine anajumlisha kwa watu wengine. Amekua na soko la kuridhisha kidogo kwa kuwa umetokea kupendwa sana mjini mafinga, jambo kubwa ambalo linampa mtihani ni mtaji wake kuwa mdogo.
Hivyo ukiwa kama Mama, Baba, Kaka, Dada anaomba kwa hali na mali umsaidie mawazo, ushauri ni jinsi gani anaweza kukuza biashara yake na ili aendelee na biashara hiyo kwani ndoto za kuajiriwa ni kama vile zimekufa acha za kujitolea ndo kabisa
Anachukua ubuyu ndoo ndogo 3@20000/=
Usafiri kutoka visiwani hadi mkoani 20000/=
Vifungashio pamoja na label. 15000/=
Jumla hutumia 95000/= na hupata 115000/= ambapo faida huwa 20000/=
NAWASILISHA[emoji120][emoji120][emoji120]
KWA USHAURI NA MAWAZO NA HATA KUMUONGEZEA KAMTAJI [emoji4][emoji4][emoji4] MCHEKI KWA NAMBA HII 0789196934View attachment 2124385View attachment 2124387View attachment 2124388
Mkuu ningetamani kujua kosa lake hapo ni niniHata mimi ningemnyima nafasi ya kufundisha shuleni kwangu, mwalimu wa kiswahili anaandika 'tafadhari?' Tena kasomea Zanzibar kulikozaliwa kiswahili!
Bora afanye biashara hiyo hiyo nadhani itamfaa zaidi kuliko kwenda kuwafundisha madudu watoto wa watu.
Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
Ni kwel muhimu kupambana asiangalie elimu yakeMapema sana kamaliza 2021 akaze mungu yupo
Ukianz kupambana ukawa unapata chochote kitu basi hizo ajira zitakuja ghafla ila ukikaa ndo utaoni ugumu wa maishaNi kwel muhimu kupambana asiangalie elimu yake
Nakubaliana na wewe na hii inatokana na nini mtu aliesoma akishayapatia maisha anakua na dharau sanaa ndo maana inapelekea washkaji waliokimbia shule kufight kama wanakufa kesho vileSiku zote failure hubaki na kinyongo kwa wale walio kuwa wanamkimbiza darasani... trust me it's a matter of time....mtu asiye na elimu kubwa maisha yake yote huishi kwa kupambana na waliosoma..
Hili pia naliona kwa washkaji wengi mtu anaejishughulisha huwez mkuta anapigia kelele kua ajira hamnaUkianz kupambana ukawa unapata chochote kitu basi hizo ajira zitakuja ghafla ila ukikaa ndo utaoni ugumu wa maisha
Mkuu huyo ni jamaa yangu sanaaMkuu huyu mleta uzi sio nxio huyo huyo anaeuza ubuyu?
Awe na subira, kuoambana ndio tumeumbiwa, kutoboa ni kipengele kingine, akaze tu na asisahau kumuomba mola wake.
Siku zote failure hubaki na kinyongo kwa wale walio kuwa wanamkimbiza darasani... trust me it's a matter of time....mtu asiye na elimu kubwa maisha yake yote huishi kwa kupambana na waliosoma..kweli ipo hivo
Kusoma na kuishia kuuza ubuyu,au kufsnya kazi za vipato vya chini,au kuzidiwa kipato na Yule uliyemzidi kiwango Cha Elimu,haimaanishi Elimu Haina maanakwahiyo wote tuwe vilaza tuishie la saba,Kuna watu huwa wanadai kwa vile Diamond aliishia la saba lakini ana pesa kuliko wale waliofika vyuo vikuu,basi Elimu Haina maana,huwa hawajiulizi ni wangapi Wana Elimu na wanamaisha mazuri na vipsto kulingnisha na wasio na elimu na wanavipato!.??Habari za wakati huu wakuu,
Leo nimekutana na jamaa yangu ivi muhitimu wa chuo kikuu akiwa anauza ubuyu ni classmate wangu primary, Basi tukapata wasaa wa kupiga stori mbili tatu ambazo kwa kiasi kikubwa ulipelekea kuamini ule msemo wangu kwamba kwa Tanzania hii elimu sio dili, jamaa alikua ana akili balaa sema ndo ivo tu sasa hivi anatembeza ubuyu kazi ambayo ilipaswa kufanywa na watu wa aina yetu sisi.
Tuliokimbia shule kitambo[emoji28][emoji28][emoji28] lakini saivi angalau nasi tunamiliki funguo ya chumba. Sijisifii ila huo ndo ukweli hata wewe apo unaesoma huu uzi kama umefika elimu ya juu jilinganishe uwezo wako kimaisha na yule ulie mwacha darasa la saba ni Mbingu na Ardhi.
Jamaa kwa jina anaitwa Jimmy, ni muhitimu wa kozi ya ualimu katika masomo ya jiografia na kiswahili (EGK) 2021. Katika moja ya chuo kilichopo visiwani. Ni kijana alietoka katika familia ya wakulima, akipata mkopo wa serikali wa 50% ambao amekua akijilipia ada pamoja na kusaidia nyumbani kwao.
Baada ya kuhitimu masomo yake akaamua kuomba nafasi katika shule mbalimbali kwa kujitolea ili aweze kuongeza uzoefu ili zikitokea nafasi sehemu awe na uzoefu fulani, lakini wahenga husema "Ng'ombe wa maskini hazai, akizaa kitoto kinakufa" ndo kitu kilichomtoke kwani mpaka wakati huu hakuna jibu lolote toka kwenye shule alizoomba kijana huyu, mpaka inafika mahali anakata tamaa ya kuendelea kufanya maombi hayo.
Kwa sasa kijana huyu ameamua kujiajiri kwa kuuza ubuyu pendwa wa visiwani, mtamu na mzuri kama sifa zilivyo za ubuyu ule wa visiwani, akiuza kwa kuutembeza mitaani mwingine anajumlisha kwa watu wengine. Amekua na soko la kuridhisha kidogo kwa kuwa umetokea kupendwa sana mjini mafinga, jambo kubwa ambalo linampa mtihani ni mtaji wake kuwa mdogo.
Hivyo ukiwa kama Mama, Baba, Kaka, Dada anaomba kwa hali na mali umsaidie mawazo, ushauri ni jinsi gani anaweza kukuza biashara yake na ili aendelee na biashara hiyo kwani ndoto za kuajiriwa ni kama vile zimekufa acha za kujitolea ndo kabisa
Anachukua ubuyu ndoo ndogo 3@20000/=
Usafiri kutoka visiwani hadi mkoani 20000/=
Vifungashio pamoja na label. 15000/=
Jumla hutumia 95000/= na hupata 115000/= ambapo faida huwa 20000/=
NAWASILISHA[emoji120][emoji120][emoji120]
KWA USHAURI NA MAWAZO View attachment 2124385View attachment 2124387View attachment 2124388
Mkuu alikua na hamu ya kuja kuwa mwalimu ndo maanaAlikua anawakimbiza wajinga wenzake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Mtu mwenye akili darasani hawezi somea hayo masomo chuo kikuu. Angekua kasomea kitu kingine.
Duh kwahiyo hapo mkuu bora kusoma au kutosoma kabisaKusoma na kuishia kuuza ubuyu,au kufsnya kazi za vipato vya chini,au kuzidiwa kipato na Yule uliyemzidi kiwango Cha Elimu,haimaanishi Elimu Haina maanakwahiyo wote tuwe vilaza tuishie la saba,Kuna watu huwa wanadai kwa vile Diamond aliishia la saba lakini ana pesa kuliko wale waliofika vyuo vikuu,basi Elimu Haina maana,huwa hawajiulizi ni wangapi Wana Elimu na wanamaisha mazuri na vipsto kulingnisha na wasio na elimu na wanavipato!.??
Dangote,Bill gate,Putin,tony brair,Ramaphosa! Hawa wote ni matajiri,je waliishia la saba!
Sawa mkuu nitalifikisha hiliNampongeza sana kwa jitihada zake hakika aendelee kupambana.
Marekebisho kidogo "Zanzibar Taste" siyo "Zanzibar Test" hasa kama anamaanisha "Ladha ya Zanzibar"