mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
soma vizuri........ieleweke kwamba binti anamkwepa mshkaji........hataki kukaa nae na kuuzungumzia uhusiano wao!!anadai yupo busy na kama hawezi kumsubiri atafute mwingine.........hapa ndo alipo nimalizaWakae wayamalize sio kujump mara moja kwenye conclusion
shoka halina masters.....
juzi kati nikakutana na rafiki yangu wa chuo kimoja hivi..jamaa ni graduate kwa sasa na bahati nzuri ameshapata kibarua hapo dsm
alikua ni kijana mwenye couple nzuri sana wakati yupo chuoni...couple ya mfano wa kuigwa!
On the way nikamuuliza shemeji anaendeleaje na mipango yenu vipi maana mwaka ndo unaisha na hatuskii chochote....
Jamaa hakunijibu vizuri nikashawishika kumdadisi zaidi kujua nini kinachoendelea...........
Binti kaanza masters class evening program hapo dsm....tangu mwezi august/sept...binti amechukua ile ya juma3 hadi ijumaa kbs...
Haonekani isitoshe jumamos anadai yupo discusion,mara shoping ilimradi jamaa anakwepwa...anadai akijaribu kumuliza kinachoendelea binti anadai yupo buzy na kama haezi kumvumilia atafute mtu mwingine..lol
haikuishia apo..binti ikitokea wameonana na jamaa;atampiga 'mizinga' ya kila aina ili mradi tuu amalize hela y amshikaji kitu ambacho hakikua that much!!............na naniliu hajapewa since march eti!!kha
jamaa amestack...maana alishamtamblisha eveyrwhere na alijipanga kumuoa..ila binti ndio hataki kbs kueleweka ingawa hajamtamkia kumuacha....................najiuliza ni masters tuu au kuna mengineyo apa!..mi nimemshauri asali sana mungu amuonyeshe aliye mchumba wake!!basi
Kwishney....juzi kati nikakutana na rafiki yangu wa chuo kimoja hivi..jamaa ni graduate kwa sasa na bahati nzuri ameshapata kibarua hapo dsm
alikua ni kijana mwenye couple nzuri sana wakati yupo chuoni...couple ya mfano wa kuigwa!
on the way nikamuuliza shemeji anaendeleaje na mipango yenu vipi maana mwaka ndo unaisha na hatuskii chochote....
jamaa hakunijibu vizuri nikashawishika kumdadisi zaidi kujua nini kinachoendelea...........
binti kaanza masters class evening program hapo dsm....tangu mwezi August/sept...binti amechukua ile ya juma3 hadi ijumaa kbs...
haonekani isitoshe jumamos anadai yupo discusion,mara shoping ilimradi jamaa anakwepwa...anadai akijaribu kumuliza kinachoendelea binti anadai yupo buzy na kama haezi kumvumilia atafute mtu mwingine..lol
haikuishia apo..binti ikitokea wameonana na jamaa;atampiga 'mizinga' ya kila aina ili mradi tuu amalize hela y amshikaji kitu ambacho hakikua that much!!............na naniliu hajapewa since march eti!!kha
jamaa amestack...maana alishamtamblisha eveyrwhere na alijipanga kumuoa..ila binti ndio hataki kbs kueleweka ingawa hajamtamkia kumuacha....................najiuliza ni masters tuu au kuna mengineyo apa!..mi nimemshauri asali sana Mungu amuonyeshe aliye mchumba wake!!basi
Kwisha kazi!!!!! Wanawake bana watu wa ajabu sana ndio mana mi sipendi nawagonga tu nawala tigo tukionana tuheshimiane no love in africa cause njaa kali.
Mwambie jamaa yako,Amulike mwizi!!!!
Habari ndio hiyo,hahahaaaa, tanesco imekaba kote kote...!!!
Mwambie jamaa yako kwisha habari yake,km alikuwa anaremba remba bibie keshapata mtu wa kazi huko chuo,kakijana kabichi kenye ukwasi kinoma na kanatoa dozi ya kueleweka.