political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,393
Na bado mpaka aombe poo ndiyo tutaacha kuifunga Simba.Hatuna haja ya kusifiwa na huyo mnafki.Ameandika Jemedari
YATWAA UBINGWA WA 31 KWA KUIZABUA SIMBA 2-0.
Timu Bora kiwanjani (YANGA) imeshinda ✅
Simba wamezidiwa kuanzia Unyayo hadi Utosi ✅
Marefa wamechezesha kwa KIWANGO cha KIMATAIFA ✅
Yanga SC wamestahili kila walichopata msimu huu, ndiyo TIMU BORA NA IMARA ZAIDI ✅
Simba SC wameshusha thamani ya mchezo wa DABI, wanafungwa kila uchao tena KIRAHISI sana ✅
Simba SC wanapaswa kutafuta wachezaji BORA na Imara zaidi ya walionao, wanaotokea benchi wanakuwa na mchango mdogo mno, ukilinganisha na wale walioingia kwa Yanga, walivyo Yanga ndivyo timu kubwa inayopigania vikombe inapaswa kuwa.
Kwa Simba hii HAIWEZI KUIFANYA CHOCHOTE Yanga hii, sana sana siku watawapiga nyingi kuanzia 6, watapiga kelelee, wataandamana, watasusia mechi, lakini kuifunga Yanga unaihitaji Simba imara kuliko ilivyo sasa.
HONGERA SANA GONGOWAZI mmestahili Ubingwa, timu ya marehemu Mzee SAID KAZUMARI MTIPA. Mwanangu Rayyan amefurahi pia.
Saa mbovu Mda mwingine inasema kweli
Yanga News Champion
Moja ya kosa kubwa la TFF ni kuleta refa wa kigeni kwenye mechi kubwa kama hii, marefa wetu hawataaminika kuchezesha mechi za kimataifa pamoja na kuwa na beji za FIfa. Mbeleni timu za ligi zikiwagomea marefa wa ndani TFF watasimama wapi?Marefa wamechezesha kwa KIWANGO cha KIMATAIFA ✅
Huu ni ukweli mchungu ambao mashabiki wa simba inabidi tuupokee, simba hatuna kikosi cha kuifunga yanga, tunafungwa magoli rahisi mno, tuna average players wengi sana.Kwa mda mrefu Simba ilificha udhaifu wake katika kuwalaumu watu
Kitendo Cha yanga kukomaa na tff na bodi ya ligi kuleta marefa imefanya wakose kichaka Cha kujificha na Sasa wanakabiliana na uhalisia kuwa lazima waimarishe kikosi Chao kifupi yanga walikuwa Bora sana Leo
Derby siku hizi haina amsha amsha tena kwasababu simba imepoteza ubora wake, kila mechi inafundwa tu.Simba yangu ni dhaifu sana kwa sasa, tumestahili tulichokipata.
Sio uongo, tumekuwa wateja, ukweli mchungu.Derby siku hizi haina amsha amsha tena kwasababu simba imepoteza ubora wake, kila mechi inafundwa tu.
Sio mchungu, ni wa kawaidaHuu ni ukweli mchungu ambao mashabiki wa simba inabidi tuupokee, simba hatuna kikosi cha kuifunga yanga, tunafungwa magoli rahisi mno, tuna average players wengi sana.
Huyu chawa wa simba huyuAmeandika Jemedari
YATWAA UBINGWA WA 31 KWA KUIZABUA SIMBA 2-0.
Timu Bora kiwanjani (YANGA) imeshinda ✅
Simba wamezidiwa kuanzia Unyayo hadi Utosi ✅
Marefa wamechezesha kwa KIWANGO cha KIMATAIFA ✅
Yanga SC wamestahili kila walichopata msimu huu, ndiyo TIMU BORA NA IMARA ZAIDI ✅
Simba SC wameshusha thamani ya mchezo wa DABI, wanafungwa kila uchao tena KIRAHISI sana ✅
Simba SC wanapaswa kutafuta wachezaji BORA na Imara zaidi ya walionao, wanaotokea benchi wanakuwa na mchango mdogo mno, ukilinganisha na wale walioingia kwa Yanga, walivyo Yanga ndivyo timu kubwa inayopigania vikombe inapaswa kuwa.
Kwa Simba hii HAIWEZI KUIFANYA CHOCHOTE Yanga hii, sana sana siku watawapiga nyingi kuanzia 6, watapiga kelelee, wataandamana, watasusia mechi, lakini kuifunga Yanga unaihitaji Simba imara kuliko ilivyo sasa.
HONGERA SANA GONGOWAZI mmestahili Ubingwa, timu ya marehemu Mzee SAID KAZUMARI MTIPA. Mwanangu Rayyan amefurahi pia.
Saa mbovu Mda mwingine inasema kweli
Yanga News Champion
Mbona kocha alishasema tunajenga timu, wewe unamsikia nani?Mimi niliishasema wasipokubali hawana timu watapata tabu mnoo. Yanga wakati wako hovyo walikuwa wanakubali kabisa Simba ni imara na iliwasaidia sana. Leo Simba na Ahmed Ali ni kudanganywa tu kila uchao na kusifia timu.
We kama nani sasa pale Yanga?Na bado mpaka aombe poo ndiyo tutaacha kuifunga Simba.Hatuna haja ya kusifiwa na huyo mnafki.
Dabi nyingi Afrika siku hizi wana import marefa, siyo kwasababu wa ndani wana viwango vidogo ila ni kuepusha mgongano wa maslahi. Kumbuka hapa nchini mwanasoka yeyote lazima awe na upande kati ya team hizo mbili lakini pia ni kujenga imani kwa vilabu vyenyewe kuelekea mchezo wao.Moja ya kosa kubwa la TFF ni kuleta refa wa kigeni kwenye mechi kubwa kama hii, marefa wetu hawataaminika kuchezesha mechi za kimataifa pamoja na kuwa na beji za FIfa. Mbeleni timu za ligi zikiwagomea marefa wa ndani TFF watasimama wapi?
Kujenga team na Mukhwala na Ateba?Mbona kocha alishasema tunajenga timu, wewe unamsikia nani?
Kabla ya kuja uliwajua?Kujenga team na Mukhwala na Ateba?