Wadau kuna jamaa yangu anaacha kazi this week ameamua awe busy na kilimo sasa je anaweza kupata hela zake za PPF au ndio wamezuia? Amejiunga kama mwaka mmoja uliopita
HESLB wameanza lini kulink na mifuko ya jamii kuwapata wadaiwa?....sidhani kama hyo ipo au wamaanisha nini?
Lakini nssf bado wanatoa hilo fao na mm mdogo wangu alhamisi anaenda kuchukua cheki yake.
PPF hatopata kitu, ni kweli wamesitisha withdraw benefits(Fao la kujitoa), ingekuwa mifuko mingine angepata, may be nao wataan,a kuzuia in the next few days!