AMD E1-1200 processor Vs Pentium dual core

MUTAKANGWA

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
37
Reaction score
2
Habari za leo wanajamvi. Ninaomba mnijulishe kuhusu tofauti kati ya aina hizi. Which performs better than the other.
 
Habari za leo wanajamvi. Ninaomba mnijulishe kuhusu tofauti kati ya aina hizi. Which performs better than the other.

Bro hizi processor zote ni shitty, that's all. Sijui much about the architecture of the two but with personal experience nimeona AMD zina run much slower than the latter. Ila it doesn't take away the fact that they are all crappy processors, kama unataka kununua mashine yenye any of these 2 nakushauri itunze tu hiyo hela
 

Kwa kuongezea AMD zinakula umeme kama friji:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…