Eliezar Mlwafu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 449
- 140
Natumia nafasi hii kuwapongeza wote kwa kuvuka Mwaka 2014 na kuingia Mwaka 2015.
Nijambo la kumshuru Mungu sanaa,Mungu atupe Amani,Upendo,Uvumilivu,Furaha na kila lililo jema machoni pake.Mkabidhi Bwana njia yako naye atainyosha nawapenda wote na mbarikiwe sanaaaa🙁 (Mjue sana Mungu ili uwe na Amani )
Maomba haya yamfikie Free ideas na Kiranga
We nae unataka kuleta nzi kwenye thread hapa yanawahusu nini hao?
Kwani wao sio wana wa mungu!!