amani kwa wote

Leak

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,944
Reaction score
43,607
tutumie fursa hii kuleta maendeleo, kutoa taarifa muhimu kwa jamii,kujenga umoja kwa watanzania na pia kupanua fikra za watumiaji wa ukurasa huu. Amani kwa wote.
 
Amani kwako pia ruttashobolwa. Karibu kwenye jamvi la wajafanja.
 
Amani kwako shobo. Samahani jina lako gumu, nimeweza kung'amua kijipande hiko tu. Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ