Unatoka nyumbani mida ya saa 12 kuwahi kwenye pirikapirika za hapa na pale kutafuta chochote kitu kwa ajili ya familia uliyoiacha nyumbani.
Ghafla njiani gari uliyopanda inakanyaga bomu lililotengwa na kikundi cha kigaidi fulani nchini kinachopingana na serikali na kuua watu wasio hatia. Embu jaribu kufikia tukio kama hilo.
AMANI KITU MUHIMU jamani, Mahali penye mitafaruko kama Afghanistan hata kama Uchumi upo juu kiasi gani sio sehemu salama za maisha
Attachments
Dozens of civilians killed as Afghan bus hits roadside bomb _ News _ Al Ja173540.pdf
Kabla ya kuchangia Mh.spika nifahamishwe tofuti ya amani na utulivu pia ulinzi na usalama.
Alafu sijajua kusudio la mada yako..naomba usalama na utulivu wakati unajibu.