Amana hospital angalieni wahudumu wenu


I

isky

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Messages
830
Likes
514
Points
180
I

isky

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2014
830 514 180
Habari wanajamvi,

Leo tar 16/07/16 nimefika Amana Hospital, taratibu nyingi nimeona haziko sawa moja imenikera zaidi "nilifika maabara kwa ajili ya vipimo na ilinisikitisha sana kukuta wahudumu mabinti wawili wakiangalia video youtube kupitia desktop computer inayopaswa kupata report kutoka kwa daktari, mbaya zaidi mpaka mgonjwa unawafikia hata hawajali mpaka uwastue ndio wapause video kisha wakusikilize.

Amana badilikeni.
 

Forum statistics

Threads 1,235,823
Members 474,742
Posts 29,237,182