costa manji Member Joined Sep 11, 2012 Posts 11 Reaction score 2 Jun 5, 2013 #1 Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!!
Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!!
M mgomba101 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 1,822 Reaction score 711 Jun 5, 2013 #2 Used toilet paper...........kwisha habari yake.
H habi Senior Member Joined Feb 21, 2011 Posts 125 Reaction score 15 Jun 5, 2013 #3 M/kiti CCM mkoa kigoma
Mvaa Tai JF-Expert Member Joined Aug 11, 2009 Posts 6,157 Reaction score 4,454 Jun 5, 2013 #4 costa manji said: Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!! Click to expand... Kama mpira wa kiume nilio utumia juzi sikumbuki kwasasa utakuwa wapi.
costa manji said: Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!! Click to expand... Kama mpira wa kiume nilio utumia juzi sikumbuki kwasasa utakuwa wapi.
N ngaranumbe Senior Member Joined Apr 16, 2012 Posts 148 Reaction score 39 Jun 5, 2013 #5 Hive Masumbuko Lamwai yuko wapi?
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Jun 5, 2013 #6 Anaishi Kigamboni, kada wa CCM
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,936 Reaction score 30,048 Jun 5, 2013 #7 costa manji said: Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!! Click to expand... Anavua samaki kigamboni. Ukifka pale ferry ukaita Kaburuuu, utamsikia akiitikia!!
costa manji said: Alitingisha sana enzi zake,alikubalika sana kipindi hicho lakini baada ya kuhama CHADEMA,sikumsikia tena!! Click to expand... Anavua samaki kigamboni. Ukifka pale ferry ukaita Kaburuuu, utamsikia akiitikia!!
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jun 5, 2013 #8 yupo nyumbani kwake, mbona mnakosa cha kufuatilia bana, maisha binafsi ya mtu yaacheni yalivyo