High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Kuna jamaa yangu amejenga kanyumba kadogo kakuanzia maisha sasa anataka kununua gari ili imsaidie kutoka kwake na kurudi lakini ana boma tena kubwa la nyumba anataka aliache kwanza anunue sasa yuko njia panda amalizie kuliezeka au anunue gari