Ama kweli kifo hakipendwi: Soma hii

Ama kweli kifo hakipendwi: Soma hii

Fruit

Senior Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
193
Reaction score
54
Jamambazi walivamia kanisa wakesama wanawaua wote kwa kufuata alfabet wakawauliza majina yao wakaanza na Mchungaji, naitwa Zeseph Zabrahamu badala ya Joseph Abrahamu, wapili naitwa Zobadia Zamweli badala ya Obadia Samweli, wa tatu naitwa Zanna Zadam badala ya Anna Adam, wa nne naitwa Zesta Zelia badala ya Esta Elia, chezeiya kifo weye, wewe ungejiita nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom