am tired...

hahahaahaha...kuwafukuza siwezi maana naogopa maneno ya ukoo wao...ukizingatia ni muhaya lol @
 
Kwani umeoa kwa wasukuma au? Maana ndugu zangu wasukuma ukiona Kwao familia nzima inaamia kwako tena from Mwanza.... Pole..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…