Am so Happy Its FRIDAY!!!!!!!!

Mshiki ulii msima? Unafanya gani Dar tarehe hizi? Hebu kamatamo fastjet fasta ukuje hapa Mrere. Jamaa wanachoma mpaka mishikaki ya utumbo wa mbuzi...... Khaaaa!
 
Yaani msasha telea tiki. Namisije nyama ya ndafu wa huku. yaani ile harufu tu unashiba. sijui ni kwanini mbuzi wa huku hawana Ladha.
 
Mshiki ulii msima? Unafanya gani Dar tarehe hizi? Hebu kamatamo fastjet fasta ukuje hapa Mrere. Jamaa wanachoma mpaka mishikaki ya utumbo wa mbuzi...... Khaaaa!

Ama kweli nyani haoni kundule! Nikja mwananu akwa.
 
he he he he msianze kumdokezea macho besti yango hapo chini. naye atakuwepo.
 
No time for this. its only partying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…