Naona ule uzi wa kwanza umefutwa, basi ngoja niondoe habari za mizigo ibaki Happy it's already Weekend...
Enjoy where you are fellas...
Lo u more Dadii
Thanks Bonny, ni mwenda wa kunesanesa mizigo mizito shurti kila mtu ajibebe jizigo ama kizigo chake.
Cheers Kasie KHahahahhaaaa ni mwendo wa self service...
Keep it real is our motto..
Cheers.