hujaamua kumhack wewe.
Mie nilishawahi mfuata huko kazini, nikatulia nje hadi muda wa kazi ulivyoisha, nikamhack hapo hapo.
Nikaanza na nampenda na kumkumbuka kwa busu hadaharani. Aliona aibu ila tulivyofika home he was so happy.
Kesho yake alinipeleka out.
Kuwa muwazi, mbona si dhambi jamani, mwanamme bila kukumbushwa waweza kuwa fanicha lol
......lol, hahahaha......nakweli!
Ati 'mungu hakupi yote!'.....unakuta usafiri ni Prado kwenda mbele, full tinted na kiyoyozi, ....Jumba kubwa kama hekalu, ....fully luxury equiped....kuanzia jacuzzi, swimming pool mpaka DSTV & sat channels zote duniani:.....lakini moyo mtupu, mpweke, hauna furaha...
....mtu anaacha mkitanda, anakesha amelalia kochi ukumbini sbb machungu na upweke.
kweli kabisa, majumba haya yanaficha mengi
Wanawake wote sikilizeni;Mna nguvu kubwa sana ya ushawishi.Jaribuni kuitumia mtaona maajabu yake.Nawaambieni kuwa familia ikiwa kama ilivyo utakua mmetaka,ila ukiamua kubadili mambo unaweza kuyabadili sana.Mwanaume awe mlevi,cheater,mchelewaji kurudi n.k,yote hata yako mikononi mwenu kuyaondoa ama la!