Am looking for serious man

U cant be that desperate. Its most likely you are not beautiful coz a beautful girl attracts men and doesnt have to advertise her beauty. But all the same i wish you the best in your endevours.
 
Naona watangaza nia wanazidi kuongezeka
 
and are you by any chance that serious woman a serious man like me deserves?.....jiulize kisha jitafakari ndio uje tena hapa....am worried you aint that serious to deserve such a serious person.
 
Wanaume huu ndo mda wetu wa kuringa,ni vile amjashitukia tu wanaume tunekua adimu sana.!!
 
Mapenzi hayachagui elimu wala kipato angalia ucje zeeka bure mie nipo lakini elimu yangu siyo kubwa kivile lakini najitambua kuliko hata mtu mwenye masters kama unikubalia ni pm
 
Am a girl aged 25 and employed, am looking for a serious man aged between 28 and 32, his education degree-masters. For more information nipm.

Uzoefu Nilionao Ni Kwamba Wanawake Wanaotafuta Wenza Wao MITANDAONI Huwa 100% Rejects Na Amorphoutic Kimwonekano. SITHUBUTU!
 
Degree or Masterz = Husband Material
25 of age = Wife Material.
and Wife Material + Husband Material= Serious or Relationship Material????

Salute hii ndo Dunia ya sasa, kweli mkono mtupu haulambwi.

Sina Degree ngoja nika kando
 
Am a girl aged 25 and employed, am looking for a serious man aged between 28 and 32, his education degree-masters. For more information nipm.

PM nina phd 32yrs and 2childnen with different mothers
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…