Am looking for any part time job mwanza

Am looking for any part time job mwanza

Andika vitu vinavyoeleweka ili usaidiwe, usiandike kama unamjibu mpenzi wako meseji.

Unataka part time job kwenye taaluma gani, kama huna taaluma unasema kama unaweza kufanya kazi yoyote na idara au zjnazohusu nini, maana huwezi kuganya kazi yoyote.

Unaandika utafikiri jmeshikishwa microphone unaimba.
 
Yupo kimya bila shaka atakuwa amesha pata hiyo part time job.
 
Sister una ulemavu wowote wa mdomo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom