karibu mkuu, nafurahi tena kukuona humu jamvini.
Kuhusu msichana wa kutoka nae kuna FF, siku hizi anajiita JF BAN-1, wasiliana na Maxence Melo akuwasilianishe nae, atakufaa huyu.
Please, accept my choice.
Nimemaliza kujiandaa, nakusubiri hapo friends kona! Umefika wapi wifi?Helo my wifi nitakupitia kesho kuangalia kala ya kichen patii brada anaharaka sana
Asalam aleykum wanajamvi,naombeni mnipokee mwanajamvi mwenzenu baada ya kutoka kwenye kifungo cha wiki moja Kilichotokana na kumpa mtu za uso!!
Pia naomba mdada mmoja hapa jamvini ajitokeze ile niwe nae usiku wa leo anisaidie kuondoa stress za ban!! hata akijitokeza yule wa _000 mi poa tu.
Hivi kumbe humu kuna mapenzi ya kisirisiri?