Asalam aleykum wanajamvi,naombeni mnipokee mwanajamvi mwenzenu baada ya kutoka kwenye kifungo cha wiki moja Kilichotokana na kumpa mtu za uso!!
Pia naomba mdada mmoja hapa jamvini ajitokeze ile niwe nae usiku wa leo anisaidie kuondoa stress za ban!! hata akijitokeza yule wa _000 mi poa tu.
mwone! Hivi hujui SL na cookie ndakindaki baby come back? Kalaghabao!mkuu pole sana karibu kwenye harusi yetu mimi na Sweetylady mambo bye
Utasutwa Bishanga!... Shauri yako!mwone! Hivi hujui SL na cookie ndakindaki baby come back? Kalaghabao!
Pole ila huyu uliyemeandika hapo ni Mwanaume tena lina mandevu balaaaaaaaaa ingawa anajirahisisha km mdadahata akijitokeza yule wa Jane_000 mi poa tu.
Mzee wangu upo wapi poleAsalam aleykum wanajamvi,naombeni mnipokee mwanajamvi mwenzenu baada ya kutoka kwenye kifungo cha wiki moja Kilichotokana na kumpa mtu za uso!!
Pia naomba mdada mmoja hapa jamvini ajitokeze ile niwe nae usiku wa leo anisaidie kuondoa stress za ban!! hata akijitokeza yule wa _000 mi poa tu.
Mpenzi usiwena hasiraPole ila huyu uliyemeandika hapo ni Mwanaume tena lina mandevu balaaaaaaaaa ingawa anajirahisisha km mdada
Karibu sana na pole kwa kifungo cha one week! Usirudie tena kuvunja sheria, sawa mtoto mzuri eeh?
Pole ila huyu uliyemeandika hapo ni Mwanaume tena lina mandevu balaaaaaaaaa ingawa anajirahisisha km mdada