Mkuu specific Mimi ni Engineer, kama wewe ni contractor au una consulting firm naomba unisaidie kazi. Hizo nyengine ni additional skills and knowledge ambazo mtu hazuiwi kujifunza kama vipi Eneo lake la kaziA well detailed BoQ inaandaliwa na QS,....Otherwise anyone can preapare a BoQ,.....unapoomba kazi kama hivi jaribu kua specific ili watu waweze kukusaidia Otherwise unaonekana unataka kila kitu.....nilishawahi kisimamia mradi mmoja kama Engineer for 2yrs....mpaka tulipopata Engineer,...ila sisemi kua mimi najua kazi za Engineers although zikinikuta site na zinahitaji utatuzi wangu na wahusika hawapo huwa natoa majibu
Mkuu kabas kama kazi ya kumpa huyu ndugu huna usilazimishe mjadala uwe mrefu sana....A well detailed BoQ inaandaliwa na QS,....Otherwise anyone can preapare a BoQ,.....unapoomba kazi kama hivi jaribu kua specific ili watu waweze kukusaidia Otherwise unaonekana unataka kila kitu.....nilishawahi kisimamia mradi mmoja kama Engineer for 2yrs....mpaka tulipopata Engineer,...ila sisemi kua mimi najua kazi za Engineers although zikinikuta site na zinahitaji utatuzi wangu na wahusika hawapo huwa natoa majibu
Ahsante kwa kuendelea kumuelewesha viongozi hapo juu, ubarikiwe. Division of labour ni ngumu sana kuna kampuni niliwahi kufanya intern hadi contract jamaa wana template ni ku edit vitu kadhaa wanapeleka kwa mwanasheria anapiga muhuri. Uwezo wa kiuchumi wa Wateja wetu pia ni kikwazo, mtu anaona kutumia wataalamu wote hao ni mzigo mkubwa wa gharama. Fikiria kujenga nyumba ya kawaida tu ya vyumba 3 vya kulala wala sio ghorofa, kitaalamu Architect, Structural Eng, QS, Service Engineer wote wanatakiwa kuhusika lakini Wateja wa huduma zetu wangapi wanaweza kumudu hizo gharamaKitaalam inatakiwa iwe hivyo ila kiuhalisia kibongo bongo ni ngumu sana unless uwe kwenye kampuni za consultants tena zile kubwa ndio utakuta hiyo division of labor!! Unafika kwenye ofisi hakuna QS na wewe kama injinia umesha design na watu wanangoja gharama ili mkandarasi atafutwe mradi uanze, je utasema hujui kuandaa BOQ?
Ahsante kwa kuzidi kuwaelewesha wanajopo, ni vema umesema ukweli na mjumbe nimemueleza kozi za Engineering tumefundishwa Architecture, Surveying na QS mtu aliyeelewa alichokisoma hawezi kushindwa kuchora ramani ya nyumba ya vyumba vitatu, hawezi kushindwa kuandaa BOQ, na siwezi kushindwa kucheck Level ya Eneo kwasababu Mimi sio surveyor si kweliMkuu kabas kama kazi ya kumpa huyu ndugu huna usilazimishe mjadala uwe mrefu sana....
Kazi alizozianisha ni very specific kwa Civil engineer....
Kweli awe Civil engineer na hawezi kuandaa BOQ?
Atajuaje kama anachokifanya site kina faida ama hasara kama rates za items na quanties za kazi huzijui ?
somo alisome darasani halafu asilitumie?
BOQ zote Kwenye tenders zinaandaliwa na ma Qs Kweli?
kila kampuni bongo ina QS Kweli...?
Bongo ili ufanikiwe inabidi uwe multipurpose.....civil engineering is too wide...ukijua vingi unakuwa na advantage !
Tutoe msaada kama kazi inaweza patikana....
Well said MkuuHufai kupewa kazi yeyote kwa sababu huheshimu mipaka ya kazi yako.
Knowledge uliyopewa juu ya architecture, na quantity surveyor, haifanyi wewe kuwa mtaalam wa maeneo hayo bali ni kuwaunganisha ili muweze kuwasiliana na kuelewana.
Mfano
Daktari wa binadamu hufundishwa namna ya kufanya
1. vipimo vya maabara,
2. kuagiza, kutunza na kugawa dawa kwa wagonjwa na kuchoma hata sindano.
3. Kuweka drip kwa wagonjwa.
4 kuzalisha
Haya majukumu kuna watu husika ( manesi na wafamasia) ambapo dunia kwa pamoja iliona wanafaa ili yaweze kutekelezwa na kupunguza dosari zilizokuwa zikijitokeza hapo awali wakati yanafanywa na mtu mmoja kama wewe unavyotudanganya.
Waliosema tuwe na
1. Fundi sanifu wa majengo
2. Wakadriaji majenzi
3. Engeener
They were not wrong.
Mkuu kuheshimu mipaka ya kazi hakupimwi kwa kueleza skills au uwezo alionao mtu, hizo hospital unazungumzia zipo eti Agha khani au zahanati za vijijini? Daktari inaweza kupima magonjwa, anaweza kuchoma sindano na kumuangalia mgonjwa, kwasababu Doctor, eti kwasababu nesi yupo basi doctor asijue kuweka drip a big no, walaumuni walioweka mtaala. Na in fact nieleweke sidharau Ma Architect wala Ma Qs isipokuwa nilieleza ujuzi wa ziada nilionao ambao wapo waajiri wanaweza kuwa na uhitaji wa Engineer aliye na kitu cha ziada cha ku offer ukitoa uhandisi peke yakeHufai kupewa kazi yeyote kwa sababu huheshimu mipaka ya kazi yako.
Knowledge uliyopewa juu ya architecture, na quantity surveyor, haifanyi wewe kuwa mtaalam wa maeneo hayo bali ni kuwaunganisha ili muweze kuwasiliana na kuelewana.
Mfano
Daktari wa binadamu hufundishwa namna ya kufanya
1. vipimo vya maabara,
2. kuagiza, kutunza na kugawa dawa kwa wagonjwa na kuchoma hata sindano.
3. Kuweka drip kwa wagonjwa.
4 kuzalisha
Haya majukumu kuna watu husika ( manesi na wafamasia) ambapo dunia kwa pamoja iliona wanafaa ili yaweze kutekelezwa na kupunguza dosari zilizokuwa zikijitokeza hapo awali wakati yanafanywa na mtu mmoja kama wewe unavyotudanganya.
Waliosema tuwe na
1. Fundi sanifu wa majengo
2. Wakadriaji majenzi
3. Engeener
They were not wrong.
Nashukuru kwa ushauri mzuri wa kujenga, tayari nimeufanyia kazi kwa kufanya kazi za kusimamia miradi ya ujenzi wa nyumba binafsi za kuishi lakini bado kuna changamoto ya kupata wateja wa kutosha na bado kipato cha kujikimu na kufanya maendeleo kimekuwa hatua, hata mimi na malengo ya kufanya shughuli zangu binafsi lakini inahitajika mtaji na network itakayonisaidia kupata kazi vyote hivyo naweza kuvipata endapo nitafanya kazi kwenye kampuni au taasisi kwa kipindi cha miaka kadhaaMuhandisi embu angalia kwenye skills ulizopata ni kitu gani wewe kama wewe unaweza kufanya.
Ukipata jibu anzia hapo hapo kukusanya nguvu weka malengo.
Kazi za kuajiriwa ni nzuri lakini zinadumaza vipaji tulivyopewa na Muumba.
Yangu ni hayo tu.