Okay kwa umri huo we nunua tu hiyo altezza na upige misele japo ulipaswa uwe na gari nyingine halafu hiyo Altezza ungeinunua kwa ajili ya hiyo michezo pakee sababu gari unayoitumia kwenye shughuli zako za kila siku haipaswi kuwa ya kuchezea.

Kila la heri ila kwa second hand hapa Bongo huwezi kupata hiyo millage,, nyingi zimetembelewa zaidi ya miaka 15 Bongo na registration ya nyingi ni Cxx, hivyo tayari zinashida za Engine na Gearbox ila ukitulia unaweza pata chuma nzuri kikubwa upate fundi mtaalamu wa kukagua chuma.

Alteza yenye 4 cylinder ndiyo zina nguvu zaidi pia zinakula mafuta zaidi kuliko 6 cylinder.
Mtoa mada yupo Sahihi ingawa amekosea kasema 6 cylinder ndiyo engine ndogo ..... kumbuka alteza zinafanya vizuri sokoni ni hizo 4 cylinder yaani imeizidi Kwa kilakitu hiyo nyingine
Hii drifting unaenda kuifanyia wapi mkuu?, Gari ina miaka karibu 25 tangu itengenezwe, unataka kununua used tena used ule mtumba wenyewe si matairi yataruka, geabox ichomoke ikaue wasio na hatia? Kuwa na huruma boss.
ni kitu ambacho kinanivutia sana, navyowaona turning gang., team tezza wakidrift nimetokea kupenda, nahisi ni hobby yangu mkuu,..na kuna jamaa wa hapa mbeya-soweto, steve_techn amekua akiniinspire sana kumiliki alteza