Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Oct 25, 2012 #2 Hii ndio U iko kama kikombe, makamasi mdomoni, sare ya shule chafu kuliko taka za kariakoo. Heri ya kizazi X,
Hii ndio U iko kama kikombe, makamasi mdomoni, sare ya shule chafu kuliko taka za kariakoo. Heri ya kizazi X,
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,965 Oct 25, 2012 #3 Dah ICT world Mkuu, kizazi cha dot com hiki!!! Wanavijua utafikiri wana machine kichwani za kunyaka vitu!!! Ukiweka ka laptop hata kawe kagumu kiasi gani vijana wanafumua tu. SM hadi nachoka maana hata menu ambazo sizijui wao wanajua!!!
Dah ICT world Mkuu, kizazi cha dot com hiki!!! Wanavijua utafikiri wana machine kichwani za kunyaka vitu!!! Ukiweka ka laptop hata kawe kagumu kiasi gani vijana wanafumua tu. SM hadi nachoka maana hata menu ambazo sizijui wao wanajua!!!
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Oct 25, 2012 #4 Mbuzi Mzee ... na hii ni version ya Caps & Small Letters
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Oct 25, 2012 Thread starter #8 Dotworld said: Click to expand... Ha ha ha ha ha "LOL" :target: