Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,397
- 17,784
Huyo huyo. Jamaa ana mashairi makali sana.
My favorite reggae legendInakwenda kwa jina la Human race. Ina nyimbo kumi na moja. Mkongwe huyo wa muzic wa raggae barani Afrika amewashirikisha baadhi wa wanamuziki nguli wa afrika. Fally Ipupa, Angelina Kidjoh na Yousou Ndour. Albam hiyo mpya inazinduliwa leo tarehe 31/08/2018. Kwa wapenzi wa Muzic wa reggae kaeni kmkao wa kula.View attachment 852209
Sent using Jamii Forums mobile app
Albam yake ya mwisho iliitwa postive energy ya mwaka 2015. Ina nyimbo 12Album ya mwisho alitoa mwaka gani?? Mie nilijua alishatutoka kitambo sana