ALOWAHI IONA HII MOVIE ANITAJIE JINA TAFADHARI, NI BONGE LA MOVIE AFU NASAHAU KIFALA

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
896
566
b555b1820660f9e3c235506fe641a01a.jpg
 
Hiyo sehemu ilikuwa very emotional...one of the best revenge movies!
It's a joy to watch.
hata hayo maneno ni mazito sana,hata kwenye maisha ya kawaida hasa darasani kwenye ukiwa unapiga chabo au unaomba jibu unatakiwa usikilize na sio kuelewa,ukijitia kuelewa unakamatwa tu
 
Hii itakuwa ni 'Escape from Sabibor'. Hapo huyo mtoto anapewa hongera zake na babake, baada ya yeye kuwauwa walinzi tano kwa kutumia mwiko wa kukorogea uji. Filamu kali sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom