Kama ni mimi nimemfumania mke wangu nitamuuliza mume mwenzangu kwamba 'vipi rafiki yangu mbona hatuombani???' halafu nitamshika mkono mke wangu na kumwambia 'twende zetu dear'.
Tendo la ndoa mara nyingi kwa manaume ni "physical" sanasana (sio lazima ampende mwanamke kufanya nae mapenzi), lakini kwa wanawake wengi hili tendo linahusisha sana "emotions", nafikiri wanawake wengi wanaelewa hilo kwa hivi inakua rahisi kusamehe kwani wanajua ile kitu(uume) inaakili yake yenyewe......wanaume kwa upande mwengine wakishaibiwa basi wanafahamu kwamba kunauwezekano mkubwa kwamba huyo mwanamke anampenda zaidi huyu jamaa kuliko yeye!!!
wanawake wepesi kusamehe lakini pi wazito kusahau,,,,
wanaume wazito kusamehe,,,na wepesi kusahau,,,,,,,
lakini mie nikimfumania ,,,nahisi ntauwa lool...
jinsi mume anavyouma then heheheh heeheh yaani sisemi ....
Mwanaume anapenda kula
Lakini yeye akiliwa anataka kuua mtu ..
Sijapenda kichwa cha hii thread haiendani na topic..[/QUOTE]
Kweli title ya hii thread haiendani kabisa na topic
"Alooha" ni lugha ya visiwa vya huko Hawaii, ni ina maana "asante". Sasa ndugu yetu Mishemtaa vipi hii?