Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,063
Kaandika kiweledi Sana na kwa kuwa alikuwa ni mchezaji wa Yanga, nadhani maoni yake watayafanyia kazi.Mtu akiongea ukweli hakubaliki ansonekana mchochezi au anachokonyoa JAMBO.
Naona wewe unaijua vizuri Yanga kuliko huyo bwana!mpira wa tanzania unashida sana, tena hawa wanaojiita wachambuzi
leo upepo ukienda vizuri msimbazi baasi yeye ataandika anayotakaa kuhusu yanga! Nashangaa hii makala ameandika ALLY MAYAY tunaemfahamu sisi. kuona simba kashinda mechi mbili basi, kaona yanga bado imeng'ang'ania mfumo wa zamani. Hivi huyu Ally hajui yanga wako katikati ya mchakato wa mabadiliko???
Wale hawawezi fanyia kazi kamweKaandika kiweledi Sana na kwa kuwa alikuwa ni mchezaji wa Yanga, nadhani maoni yake watayafanyia kazi.
Mchakato usioishampira wa tanzania unashida sana, tena hawa wanaojiita wachambuzi
leo upepo ukienda vizuri msimbazi baasi yeye ataandika anayotakaa kuhusu yanga! Nashangaa hii makala ameandika ALLY MAYAY tunaemfahamu sisi. kuona simba kashinda mechi mbili basi, kaona yanga bado imeng'ang'ania mfumo wa zamani. Hivi huyu Ally hajui yanga wako katikati ya mchakato wa mabadiliko???
Hahaa haaa bila shaka sindano imekuingia panapo. So tulia sasa dawa ifanye Nazi.mpira wa tanzania unashida sana, tena hawa wanaojiita wachambuzi
leo upepo ukienda vizuri msimbazi baasi yeye ataandika anayotakaa kuhusu yanga! Nashangaa hii makala ameandika ALLY MAYAY tunaemfahamu sisi. kuona simba kashinda mechi mbili basi, kaona yanga bado imeng'ang'ania mfumo wa zamani. Hivi huyu Ally hajui yanga wako katikati ya mchakato wa mabadiliko???
Wa Simba umeisha?