Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,091
- 5,279
Nairobi is the undisputed hub of East and Central Africa region in everything and KLM shows us why.
Kizungu kimeleta taabu, anawadanganya babu yenu mjikite kwenye kiswahili, ona sasa. Hizi ni international flights za KLM not any other international airlines operating in Tanzania.flying via Nairobi si maana yake watapandia TZ ila watapitia Nairobi kabla ya kwenda nchi zingine? kwani kuna shida gani? si ni sawa tu na bus linapopitia stand fulani ili kujaza abiria? hapo shida ipo wapi?
Nilichoelewa mimi nikwamba wakifika Nairobi wanafanyiwa vipimo kisha ndiyo waendelee au wabaki kulingana na majibu ya vipimo vyao.flying via Nairobi si maana yake watapandia TZ ila watapitia Nairobi kabla ya kwenda nchi zingine? kwani kuna shida gani? si ni sawa tu na bus linapopitia stand fulani ili kujaza abiria? hapo shida ipo wapi?
Amsterdam-Dar es Salaam then Dar es Salaam- Nairobi- Amsterdam,Kizungu kimeleta taabu, anawadanganya babu yenu mjikite kwenye kiswahili, ona sasa. Hizi ni international flights za KLM not any other international airlines operating in Tanzania.
Amsterdam-Dar es Salaam then Dar es Salaam- Nairobi- Amsterdam,
You sound folly, nini huelewi we kilaza, wazungu wakitoka Zanzibar wanapitia Nairobi then wanaenda uholanzi.
Tena I thought you'll see how Tz got multiple operating international airports, yaani Zamzibar, Kilimanjaro, Dar, and soon Mwanza and Dodoma.
Sijaona hayo ya vipimo hapo sijuwi mwenzetu umeyatoa wapiNilichoelewa mimi nikwamba wakifika Nairobi wanafanyiwa vipimo kisha ndiyo waendelee au wabaki kulingana na majibu ya vipimo vyao.
Kitu ambacho wabongo wengi hawajanotice ni kwamba Flights za kutoka Amsterdam kuja Bongo zinakuja moja kwa moja
Ila za kutoka Bongo kwenda Amsterdam ni lazima waweke kituo Nairobi
Hapo ndo pa kujiuliza ni kituo cha nini? Na kwanini
*Nadhani ukienda kununua tiketi utakutana na vigezo na masharti zaidi kuwa tunakupakia hapa tunaenda Nairobi tutafanya hiki na hiki usipo"qualify " unabaki/unarudishwa
Mlitaka muwaibukie na vyeti vyenu vya kuandikiana huko eti ukilipa $100 unazugwa kupimwa corona kisha unapewa cheti ukawaibukie wazungu kwao. Lazima mpitie hapa mpanue midomo tutumbukize vifaa vya kukagua kama kweli mko wasafi.
Hehehe!! Nimefanya kuchomekea tu ila sijui mbona imelazimishwa mpitie kwetu hapa.
flying via Nairobi si maana yake watapandia TZ ila watapitia Nairobi kabla ya kwenda nchi zingine? kwani kuna shida gani? si ni sawa tu na bus linapopitia stand fulani ili kujaza abiria? hapo shida ipo wapi?
Nafikiri wewe ndio huna akili. hiyo KLM unaweza kujua kuiandika hapa, na hujawahi hata kuipanda. kwahiyo anayesafiri kwenda Uholanzi leo akapandia ndege DSM, akifika NAIROBI watashusha ndege yote watu wakapimwe kwanza?Huna akili kabisa! KLM ni Non stop flight,maana yako ikienda Nairobi wanakupima,kama una Corona huendi!
naona wewe ndio huelewi, kwani kuna mtu amepinga hilo? KLM itakuwepo hapa kama sio international flight? kwani inaoperate locally hapa? unaongea nini wewe?Kizungu kimeleta taabu, anawadanganya babu yenu mjikite kwenye kiswahili, ona sasa. Hizi ni international flights za KLM not any other international airlines operating in Tanzania.
Umewahi safiri safari ya Kimataifa kwa Ndege?another nincompoop, he does not know what I was trying to explain
wajinga kabisa hawa,wanashangilia KLM kupita kwao, wakati sisi hapa ilikuwa na destination tatu, kilimanjaro airpot, DSM na zanzibar, ambako bado itaendelea kuwepo. KLM inabeba zaidi watalii na kutokana na corona watalii wengi hawaji, dege kubwa sana lile haliwezi kwenda majuu tupu, lazima lisanye njiani.Mnapata wapi muda wa kuwajibu hawa wapuuzi? Wakenua meno ninaowajua wako bize sasa hv wakipoga kazi. Hawa wanaokuja huku kujisifia hata nauli ya matatu hawana inabishana nao nini? Vile wanapata unafuu wa MB tu wangrkuwa wanalipia kama huku bongo wala tusingewaona huku