samahani wadau, naingilia katikati ya maada kuongea kitu kilicho nje ya maadaAm curious kujua kwa nini umefikiria hivyo?
nakubali sana nondo zako mkuu NullPointerNICOLAX Basi mkuu uko sahihi, nilidhani umenisoma navoandika ukashtuka, kidogo nibadilishe style yangu ya kuandika kabisa.
Nilibadilisha ID baada ya kua na specie mwingine tunayefanana naye ID..
Hebu kwanza ni kwa sababu sijaelewa au si mjuzi wa haya mateleportation? mbona kama ni issue impossible practically?hivi hii na mtu mmoja kuwa sehemu mbili tofauti zina mahusiano?
Samahani sana sir.. Swali nimeshindwakulielewa kidogo naomba liwekea fresh..huwenda ukapata answerndugu wanasayansi wetu kimsingi mimi sio mwanasayansi kama nyie ila kupitia hoja hizi nimejifunga mengi niyoyajua.
on my point
ikiwa mtu halisi atatolewa DNA na RNA zake na kutengenezwa mtu wa mfamo wake kwa njia ya mahabara, nifikirivyo mimi mtu halisi ataishi na mtu nakala ataishi wa nguvu ya mtambo na sio kwa damu, nyama na moyo. maisha ya mtu huo yatakuwa nategemea kuendeshwa na kuongozwa .
ok hapana mkuu.. naona hiyo unayosema ni time traveling.. mtu unakuwa marambili au zaidi according to time..
Habari zenu wadau wote wa jukwaa hili la Jamii Intelligence, leo nimeleta mezani mada kuhusu TELEPORTATION. Naomba nitumie kingereza ili niweze kueleweka vizuri. TELEPORTATION is simply TELECOMMUNICATION, TRANSPORTATIONand QUANTUM PHYSICS at the same point. Teleportation means is the transportation of a body from point A to point B in just milliseconds....it is like transporting a person from ARUSHA to MWANZA in seconds. You may ask yourself how can this even be possible. If you are a fan of science fiction movies you may notice that this term TELEPORTATION is familiar to you. In Physicist Charles
Bennett and a team of IBM researchers confirmed
that quantum teleportation was possible, but only
if the original object being teleported was
destroyed. Why? The act of scanning disrupts the
original such that the copy becomes the only
surviving original. In reality scientists are working day and night to make this thing become possible, as it will help people to even transport very fast. In order to teleport a person, what you need is to scan the body into subatomic level(DEMATERIALIZATION)at point A and send the information to point B for transformation of the same body which was dematerialised at point A. The biggest problem facing scientists is that what will be transformed at point B is merely a COPY of what was destroyed at point A, thus will this COPY have the same memories, behaviour, brain activities as the original person which was destroyed at point A...this remains a nightmare for the scientists working on this till today. But if TELEPORTATION will work out right, we will all forget about PASSPORTS, VEHICLES, PLANES and we can all
reach our destinations in just a fraction of a second. Next time i will come up with the topic of TELEPATHY, be free to comment.
ENJOY SCIENCE AND LETS BUILD THE WORLD WE DESIRE TO BE IN.