Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kila mbuzi kula kwa uhefu wa mbaka yake,humeme huhatikahatikaAwe muwazi sasa Mengine Yaliyo tengenezwa niyapi
Mwoneeni huruma kitila vurugu zamkewe nyumbani zinamchosha kichwa mabint wandani mkewe anafukuza kilawiki nakuuguza mkwewake [emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] vurugu mechi home hanarahaAwe muwazi sasa Mengine Yaliyo tengenezwa niyapi
Prof.Aache kuongea mambo ambayo yatamharibia historia yake.kwa mfano angekaa kimya kingetokea nini.Mbunge wa Ubunge, Prof. Kitila Mkumbo amesema ni jambo la kawaida kwa kila awamu kutatua changamoto anazozikuta lakini huwa wanazitengeneza nyingine
Kwa awamu ya Rais Samia Suluhu, amesema ametatua changamoto ya kidiplomasia na uwekezaji. Pia hata kwenye masuala ya kisiasa kama ilivyoonekana hivi karibuni.
Uhuru wa kutoa maoni yake. Ukitaka mtafte yule ni mtu anaejua kujenga hoja vizuri tuProf.Aache kuongea mambo ambayo yatamharibia historia yake.kwa mfano angekaa kimya kingetokea nini.
Je tukimwambia athibitishe hizo changamoto zinazotengenezwa na mwenyekiti wake wa chama Taifa ataweza kutuambia?
Uhuru wa kutoa maoni yake. Ukitaka mtafte yule ni mtu anaejua kujenga hoja vizuri tu
Dunia ya leo bado ni ya kuhangaika na mwanamke!!!? Teknolojia haijamsaidia!? Achana na anayezingua.... Mungu alipoweka wanawake wengi kuliko wanaume alikuwa na kusudi lake, alitaka wawe wakurekebishia ya kuchaguaMwoneeni huruma kitila vurugu zamkewe nyumbani zinamchosha kichwa mabint wandani mkewe anafukuza kilawiki nakuuguza mkwewake [emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] vurugu mechi home hanaraha
Humu kuna maneno humu!Huyu jamaa mchumia tumbo njaa yake ipo kwenye kipara chake kile
Chezea mke wa kichaga weweDunia ya leo bado ni ya kuhangaika na mwanamke!!!? Teknolojia haijamsaidia!? Achana na anayezingua.... Mungu alipoweka wanawake wengi kuliko wanaume alikuwa na kusudi lake, alitaka wawe wakurekebishia ya kuchagua
Wapo wanawake decent chungu mzima angeweza kudownload mmoja akaendelea kufurahia maisha duniani
Wapo wachaga understanding na makini sijui huyo anamng'ang'ania for what!Chezea mke wa kichaga wewe
Kiuno kitakua na anakiuno weusi fulani Kama mnyachusa sura nyembamba kingine itakua hofu yakugawana MaliWapo wachaga understanding na makini sijui huyo anamng'ang'ania for what!