Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Aliyewahi kuwa katibu wa jimbo la Segerea kupitia CCM, na kada maarufu wa chama cha CCM ndugu Ramadhani Mwami, amejiunga rasmi na CHADEMA.
Halfa fupi ya kumpokea Ndugu Ramadhani, ilifanyika kata ya Tabata DSM na kushuhudiwa na uwakilishi wa uongozi wa jimbo Segerea na uongozi wa kata ya Tabata, ambapo ndugu Mwami aliambatana na wanachama 5 walioamua kwa dhati kujitoa CCM baada ya kuona mabadiliko ya kweli hayapo humo.
Chama kilimsimika rasmi ndugu Mwami kama Mjumbe namba moja wa mtaa wa Mtambani na kuweka bendera nyumbani kwake, na kilimkaribisha yeye na wenzake kundini na kuwahaidi ushirikiano nao kwani CHADEMA ni chama cha umma na ni familia moja.Ali