Akademician
Senior Member
- May 20, 2015
- 143
- 36
.
Habarini wakuu,
Naomba mtu aliyepo Newala mjini kwa sasa na ambaye ana uzoefu na mazingira yale aniPM nimkonsalti juu
Ya suala fulani.
Ni vizuri sana awe ni mwenye skima na masuala ya elimu,
Au awe mwanafunzi wa pande zile.