Kuna vitu vingne kama msomi unashangaa akiviuliza kwenye jukwaa. Sijajua lengo la huyu mtoa mada ninini. Je ni ili tumjue jukwaani kuwa anehitim pharmacy au ni nini. Kwani aliomalza nao chuo wameenda wapi had uje huku jukwaani tukujue we mchanganya madawa